PreGE2025 Naibu Waziri Deus Sangu: Mimi ni mafia, nitawashughulikia wanaotaka kugombea jimbo la Kwela

PreGE2025 Naibu Waziri Deus Sangu: Mimi ni mafia, nitawashughulikia wanaotaka kugombea jimbo la Kwela

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu ni wa kufungwa, ni marufuku mwana usalama ku expose his past ama identity yake.
Huyu ni mjinga kama wajinga wengine
Si ajabu hajawahi serve kokote pumbav zake

Lakin kauli za kusema atapoteza watu anatakiwa achukuliwe hatua za kinidham, ni kosa kisheria na ni upumbavu wa hali ya juu
Haya ndiyo matakataka wanayoyapenda CCM! Jamaa lipumbavu sana!
 
Back
Top Bottom