Mjukuu wa Magika
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 636
- 1,207
Jifikilie kwa atakae gombea chama cha upinzani na upepo ukamkubari si ataokotwa kwenye gunia?Kama anaowaua ni CCM wenzake aue tu.

Hii clip mbona ya muda sana, Ndio kuchafuana kwenyewe!Nimeshtushwa Sana na hiki kitu. Mbunge anawezaje kutamka haya?? Naogopa sasa. Amemuamuru hadi Waziri Mkuu? Msije kuniua bure.
Mjinga mjinga anayegombea atakatwa pale pale alafu kuniambia kuwa mtu anataka agombee ambapambeni na mimi eti kwa sababu jimbo ni kubwa aje tu.
Mimi ni mafia ulikuwa unijuwi mimi ni mafia na hapo wameniongezea kwa nafasi ya kuwa mbunge, balaa lake ni kubwa, mimi ni mesoma nimefanya kazi Usalama wa Taifa kwenye kitengo cha kumlinda rais amesema mtia nia wa jimbo la Kwela Rukwa
View attachment 3336403
Bado mnaishi kizamani sana! Hii mentality ya TISS kutojulikana imepitwa na wakati!Kama huyu ni TISS kweli chombo kinachotegemewa na nchi kulinda usalama basi taifa liko uchi .
— Sahih Muslim"Hatakuwako Peponi mtu yeyote mwenye kiburi hata kiasi cha chembe."
— (Tirmidhi, Ibn Majah)"Mwenye kupenda kujitukuza na kutamba mbele ya watu, atafufuliwa Siku ya Kiyama akiwa mdogo kama chembe, watu wakimkanyaga."
Maskini CCM, Dah kila wanavyojaribu kujificha wanaumbuka, kwenye mazingira kama haya ndio unaambiwa eti kuwe na UCHAGUZI huru na wa haki? PUMBAVU
Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii.
Katika kauli zake, Sangu amedai kuwa yeye ni jasusi aliyefunzwa na serikali kupitia Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), akisisitiza kuwa mafunzo hayo anayatumia kuwazuia watu asiowataka kuingia au kushindana naye kisiasa ndani ya jimbo la Kwela.
Amedai kuwa kwa kutumia mbinu hizo, amefanikisha kulizuia jimbo hilo kugawanywa kinyume na mipango ya serikali na chama tawala (CCM), akisisitiza kuwa yeye pekee ana uwezo wa kulilinda jimbo hilo kubaki chini ya ushawishi wake kwa njia yoyote itakayohitajika.
Kauli hizo zimeibua taharuki miongoni mwa wananchi na wadau wa demokrasia, huku baadhi wakidai kuwa ni hatari kwa usalama na uhuru wa kisiasa katika eneo hilo.
TAKBIRHadithi Husika:
1. Mtume (SAW) amesema:
— Sahih Muslim
Hii hadithi inaonyesha kuwa kiburi na kujisifu ni tabia zinazohatarisha wokovu wa mtu.
2. Mtume (SAW) alionya kuhusu kujisifu:
— (Tirmidhi, Ibn Majah)
validity yake?Hii clip mbona ya muda sana, Ndio kuchafuana kwenyewe!
Huu ndo upumbavu tunasema ,mafia ,kwani jimbo la baba ake ,pumbavu sana
Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii.
Katika kauli zake, Sangu amedai kuwa yeye ni jasusi aliyefunzwa na serikali kupitia Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), akisisitiza kuwa mafunzo hayo anayatumia kuwazuia watu asiowataka kuingia au kushindana naye kisiasa ndani ya jimbo la Kwela.
Amedai kuwa kwa kutumia mbinu hizo, amefanikisha kulizuia jimbo hilo kugawanywa kinyume na mipango ya serikali na chama tawala (CCM), akisisitiza kuwa yeye pekee ana uwezo wa kulilinda jimbo hilo kubaki chini ya ushawishi wake kwa njia yoyote itakayohitajika.
Kauli hizo zimeibua taharuki miongoni mwa wananchi na wadau wa demokrasia, huku baadhi wakidai kuwa ni hatari kwa usalama na uhuru wa kisiasa katika eneo hilo.
Wewe nawe !! Mbona unakuwa zwazwa? Au umepewa alfu tatu uje umtetee humu?Hiki ni kipindi cha fitna! Hiyo clip ni ya muda mrefu sana, kama sijakosea ni 2021.
Uchaguzi unakaribia, watu wanachafuana kuharibu reputation za watu.
Kabisa, hawa wanaiga akili za Samia. Unakumbuka aliwahi kuita katiba kikaratasi tuNchi zilizo staarabika huyu angeshavuliwa ubunge, hii ndio uhaini wenyewe.
Na speaker yupi tu anatoa macho?
Elim ya tz haijamsaidia badoKabisa, hawa wanaiga akili za Samia. Unakumbuka aliwahi kuita katiba kikaratasi tu
Ficha Ujinga Wako Mbele ya WATU/ Kukaa kimiya Nako ni Busara Zaidi - Sio Kila kitu Lazima Uchangie- Acha Uchawa Wako huoSasa wewe na akili yako kisoda hiyo na Mimoshi yako kichwani unaweza vipi kumiliki jimbo.
Unadhani Mafya huwa wanajitangaza basi? Wao huwa wanafanya action tu, sasa huyu mbulila anaejisema ni mafya anajidhalilisha
Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii.
Katika kauli zake, Sangu amedai kuwa yeye ni jasusi aliyefunzwa na serikali kupitia Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), akisisitiza kuwa mafunzo hayo anayatumia kuwazuia watu asiowataka kuingia au kushindana naye kisiasa ndani ya jimbo la Kwela.
Amedai kuwa kwa kutumia mbinu hizo, amefanikisha kulizuia jimbo hilo kugawanywa kinyume na mipango ya serikali na chama tawala (CCM), akisisitiza kuwa yeye pekee ana uwezo wa kulilinda jimbo hilo kubaki chini ya ushawishi wake kwa njia yoyote itakayohitajika.
Kauli hizo zimeibua taharuki miongoni mwa wananchi na wadau wa demokrasia, huku baadhi wakidai kuwa ni hatari kwa usalama na uhuru wa kisiasa katika eneo hilo.
Jiwe aliharibu sana bunge la nchi yetu, historia haitamuandika vizuri jinsi alivyovuruga demokrasia.
Unajua CV yake kwenye mafia hadi unamuandareiti hivyo?Unadhani Mafya huwa wanajitangaza basi? Wao huwa wanafanya action tu, sasa huyu mbulila anaejisema ni mafya anajidhalilisha
Bado narudia, mafia wana adabu na ethics za kazi, hawezi jitangaza hadharani kama mleviUnajua CV yake kwenye mafia hadi unamuandareiti hivyo?
Kama ni mtu wa idara,huwezi ukajua faili lake mzee.
Nasema hivi,huna faili lake,huwezi ukakonkludi hivyo,waliokutana nae kwenye misheni zake ndo wanamjua.Bado narudia, mafia wana adabu na ethics za kazi, hawezi jitangaza hadharani kama mlevi
Majitu ya sifaMajitu kama haya yaliupataje huo ubunge?
Ubunge na hizo misheni vinaendana?Nasema hivi,huna faili lake,huwezi ukakonkludi hivyo,waliokutana nae kwenye misheni zake ndo wanamjua.
Hiyo clip ni ya zaman! watu wanatafuta political mileage!Wewe nawe !! Mbona unakuwa zwazwa? Au umepewa alfu tatu uje umtetee humu?
Kwa taarifa yako jinai huwa haina muda, kosa ni kosa tu