PreGE2025 Naibu Waziri Deus Sangu: Mimi ni mafia, nitawashughulikia wanaotaka kugombea jimbo la Kwela

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii.

Katika kauli zake, Sangu amedai kuwa yeye ni jasusi aliyefunzwa na serikali kupitia Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), akisisitiza kuwa mafunzo hayo anayatumia kuwazuia watu asiowataka kuingia au kushindana naye kisiasa ndani ya jimbo la Kwela.

Amedai kuwa kwa kutumia mbinu hizo, amefanikisha kulizuia jimbo hilo kugawanywa kinyume na mipango ya serikali na chama tawala (CCM), akisisitiza kuwa yeye pekee ana uwezo wa kulilinda jimbo hilo kubaki chini ya ushawishi wake kwa njia yoyote itakayohitajika.

Kauli hizo zimeibua taharuki miongoni mwa wananchi na wadau wa demokrasia, huku baadhi wakidai kuwa ni hatari kwa usalama na uhuru wa kisiasa katika eneo hilo.
Anatishia nyau japo yote ni sahihi
 
Hili jamaa ni pumbavu!
 
Alafu jimbo lenyewe unakuta maskini halina mbele wala nyuma,huku Mwajiriwa wao anajitapa jimbo haligawanywi kwa maslahi yake binafsi na ana mu implicate PM...frankly kama hawa ndio viongozi wetu,kazi tunayo!
 
Anajua maana ya Mafia? Yani vikundi vya kihalifu vinavyojihusisha na biashara haramu na mauaji ni jambo la kujisifia tena kwa kiongozi wa umma?

Hii nchi tuna mengi ya kufanya, tuanze na no reforms no election ndipo huu upuuzi mwingine ufuate.
Ukigombea utakutana navyo
 
Alafu jimbo lenyewe unakuta maskini halina mbele wala nyuma,huku Mwajiriwa wao anajitapa jimbo haligawanywi kwa maslahi yake binafsi na ana mu implicate PM...frankly kama hawa ndio viongozi wetu,kazi tunayo!
Ndiyo maana tunaambiwa bila reform hakuna kitu. Hawa ni CCM wenyewe kwa wenyewe wameanza kutafunana. Dhambi ya kupitisha wabunge kwa mtutu wa dola inakwenda mbali.... madhara yake hayaishii kwa wapinzani tu.
 
Kauli za naibu waziri hazina tatizo kwenye vyombo vyetu vya sheria, tatizo hapo lipo kwa aliyerusha hiyo clip, na soon tutasikia kakamatwa.
 
Ccm huyu amejitoa kafara mwanzo wa mchezo, bila shaka mh Raisi SSH mkeka wa huyu upo njiani na hiyo nafasi ibaki wazi kwani muda si rafiki tena.

Madaraka ni kilevi kibaya sana.
 
Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii.

Katika kauli zake, Sangu amedai kuwa yeye ni jasusi aliyefunzwa na serikali kupitia Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), akisisitiza kuwa mafunzo hayo anayatumia kuwazuia watu asiowataka kuingia au kushindana naye kisiasa ndani ya jimbo la Kwela.

Amedai kuwa kwa kutumia mbinu hizo, amefanikisha kulizuia jimbo hilo kugawanywa kinyume na mipango ya serikali na chama tawala (CCM), akisisitiza kuwa yeye pekee ana uwezo wa kulilinda jimbo hilo kubaki chini ya ushawishi wake kwa njia yoyote itakayohitajika.

Kauli hizo zimeibua taharuki miongoni mwa wananchi na wadau wa demokrasia, huku baadhi wakidai kuwa ni hatari kwa usalama na uhuru wa kisiasa katika eneo hilo.
Hii mbona ni ya muda mrefu!? Toka 2021.

Inaonekana watu hawajui, wanadhani ni ya sasa ivi!
 
Tiss wakanushe alafu mambo ya Usalama kufanya kazi kwa siri Kuba baadhi ya kazi sio za kufanya kwa siri kwa mfano kukanusha suala kama hili ni muhimu sana kwamba sio mtu wao
TISS mupo humu na mnasoma sana, toeni kanusho kuwa huyu pimbi Naibu Waziri Deus Sangu siyo mtu wenu!!
 
Back
Top Bottom