PreGE2025 Naibu Waziri Deus Sangu: Mimi ni mafia, nitawashughulikia wanaotaka kugombea jimbo la Kwela

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
He is not
Kwa kauli zake hizo yuko juu ya sheria. Au wewe umesikiliza clip tofauti na hii iliyowekwa hapa? Yaani kwanza kazuia ugawanyaji wa jimbo lake, na yupo kule kwa kazi maalumu, pia atapanga safu ya uteuzi, tatu kasema yeye ni mafia kuna watu atawafanyia vile atataka. Sasa huyo yuko chini au juu ya sheria?
 
Kwa kauli zake hizo yuko juu ya sheria. Au wewe umesikiliza clip tofauti na hii iliyowekwa hapa? Yaani kwanza kazuia ugawanyaji wa jimbo lake, pia atapanga safu ya uteuzi, tatu kasema yeye ni mafia kuna watu atawafanyia vile atataka. Sasa huyo yuko chini au juu ya sheria?
Hayuko…. Anabwabwaja tu sifa za siasa
 
Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii.

Katika kauli zake, Sangu amedai kuwa yeye ni jasusi aliyefunzwa na serikali kupitia Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), akisisitiza kuwa mafunzo hayo anayatumia kuwazuia watu asiowataka kuingia au kushindana naye kisiasa ndani ya jimbo la Kwela.

Amedai kuwa kwa kutumia mbinu hizo, amefanikisha kulizuia jimbo hilo kugawanywa kinyume na mipango ya serikali na chama tawala (CCM), akisisitiza kuwa yeye pekee ana uwezo wa kulilinda jimbo hilo kubaki chini ya ushawishi wake kwa njia yoyote itakayohitajika.

Kauli hizo zimeibua taharuki miongoni mwa wananchi na wadau wa demokrasia, huku baadhi wakidai kuwa ni hatari kwa usalama na uhuru wa kisiasa katika eneo hilo.

Mafia wa kwela kwa Mzindakaya
 
Angesema wa chadema ni uhaini
 
Hiyo kawaida CCM ndugu
 
Mtunga Sheria anapotangaza kuvunja Sheria hadharani hiyo ni hatari zaidi ya mwizi wa kuku mtaani.
 
Back
Top Bottom