PreGE2025 Naibu Waziri Deus Sangu: Mimi ni mafia, nitawashughulikia wanaotaka kugombea jimbo la Kwela

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Safari tuu tunayo! Huyu ndie usalama wa taifa wa taifa letu.Amesomeshwa hadi burgaria na Kodi zetu. Bila shaka hata hizo pesa alizosomea harudishi ila Mimi mwl wa laki sita nakatwa na bodi ya mikopo asilimia 15.no reforms no election!
 
Huyu Mbogo anayetajwa ndio huyu alikuwa mlinzi wa dikteta uchwara na sasa unajiuliza kama idara ya usalama inaingiza maafisa kwenye siasa kupitia chama cha kijani hapo kunakuwa na usalama kweli .?
images - 2025-05-16T145706.212.jpeg
 
Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii.

Katika kauli zake, Sangu amedai kuwa yeye ni jasusi aliyefunzwa na serikali kupitia Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), akisisitiza kuwa mafunzo hayo anayatumia kuwazuia watu asiowataka kuingia au kushindana naye kisiasa ndani ya jimbo la Kwela.

Amedai kuwa kwa kutumia mbinu hizo, amefanikisha kulizuia jimbo hilo kugawanywa kinyume na mipango ya serikali na chama tawala (CCM), akisisitiza kuwa yeye pekee ana uwezo wa kulilinda jimbo hilo kubaki chini ya ushawishi wake kwa njia yoyote itakayohitajika.

Kauli hizo zimeibua taharuki miongoni mwa wananchi na wadau wa demokrasia, huku baadhi wakidai kuwa ni hatari kwa usalama na uhuru wa kisiasa katika eneo hilo.
Na bado,watatekana sana
 
View attachment 3336049
Photo : Deus Clement Sangu

Huyu lazima atakuwa mmoja wa waratibu, wawezeshaji na mfadhili wa mbinu chafu za watu wasiojulikana wanaofanya vitendo vya kutisha, kuteka, kupoteza, kutupa watu maporini.

TOKA MAKTABA :
Mheshimiwa Mwenyekiti, mimi peke yangu, mimi Deus Clement Sangu...

View: https://m.youtube.com/watch?v=54K_07rZsV0
YearLevelSchoolAwards
2013 - 2015Masters DegreeMzumbe UniversityMaster of Science in Procurement and SUpply Chain Management
2007 - 2010Bachelor DegreeUniversity of Dar es SalaamBachelor of Commerce in management Science
2005 - 2007Advanced DiplomaMwakaleli Secondary SchoolACSE
2000 - 2004Secondary SchoolKaengesa Secondary SchoolCSEE
1993 - 1999Primary SchoolLaela A Primary School

YearPositionOrganization
2018 - 2020Senior Manager ProcurementTPB Bank PLC
2013 - 2018Head of ProcurementTwiga Bancorp Ltd
2012 - 2013Procurement OfficerTwiga Bancorp Ltd
2011 - 2012Bank Operations OfficerTwiga Bancorp Ltd
2010 - 2011Bank Operation OfficerBarclays Bank T Ltd

Source : Bunge Polis

Kilaza mkubwa huyu .

Mafuliko , dalasani .????

Tushukulu , tulitalaji??
 
Mwambie hivi ,hataliona Hilo jimbo Tena

Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii.

Katika kauli zake, Sangu amedai kuwa yeye ni jasusi aliyefunzwa na serikali kupitia Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), akisisitiza kuwa mafunzo hayo anayatumia kuwazuia watu asiowataka kuingia au kushindana naye kisiasa ndani ya jimbo la Kwela.

Amedai kuwa kwa kutumia mbinu hizo, amefanikisha kulizuia jimbo hilo kugawanywa kinyume na mipango ya serikali na chama tawala (CCM), akisisitiza kuwa yeye pekee ana uwezo wa kulilinda jimbo hilo kubaki chini ya ushawishi wake kwa njia yoyote itakayohitajika.

Kauli hizo zimeibua taharuki miongoni mwa wananchi na wadau wa demokrasia, huku baadhi wakidai kuwa ni hatari kwa usalama na uhuru wa kisiasa katika eneo hilo.
 
Tiss wakanushe alafu mambo ya Usalama kufanya kazi kwa siri Kuba baadhi ya kazi sio za kufanya kwa siri kwa mfano kukanusha suala kama hili ni muhimu sana kwamba sio mtu wao
Hao wanaidara ulishawahi kusikia wanazungumza chochote? Hao ni silent doers!
 
Chakushangaza ni kwamba huyu kilaza ataachwa hivi hivi as if hakuna lilitokea. What a shameful nation....Angekua mwana CDM tungeshaona matamko ya vyombo vya usalama immediately.

Halafu kuna watu wanapiga mayowe kwamba haki na demokrasia imeshamili inchi😂😂😂 ngoja nicheke tu maana nikihuzunika nitajitafutia magonjwa ya moyo

Mungu ibariki Tanganyika. Amen
 
Yupo mtaalami mmoja wa University Uingereza alikuwa anasema,"I have noticed last Tanzania imegundua helium. Namshauri Mr. Magoofuly aelewe kwamba bei ya helium duniani inapanda na kushuka. Asubiri,akiona bei ni nzuri aanze kuchimba.
 
Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii.

Katika kauli zake, Sangu amedai kuwa yeye ni jasusi aliyefunzwa na serikali kupitia Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), akisisitiza kuwa mafunzo hayo anayatumia kuwazuia watu asiowataka kuingia au kushindana naye kisiasa ndani ya jimbo la Kwela.

Amedai kuwa kwa kutumia mbinu hizo, amefanikisha kulizuia jimbo hilo kugawanywa kinyume na mipango ya serikali na chama tawala (CCM), akisisitiza kuwa yeye pekee ana uwezo wa kulilinda jimbo hilo kubaki chini ya ushawishi wake kwa njia yoyote itakayohitajika.

Kauli hizo zimeibua taharuki miongoni mwa wananchi na wadau wa demokrasia, huku baadhi wakidai kuwa ni hatari kwa usalama na uhuru wa kisiasa katika eneo hilo.
Tunaelekea pazuri....mungu akazie hapohapo asitoe iyo flash
 
Huyu Mbogo anayetajwa ndio huyu alikuwa mlinzi wa dikteta uchwara na sasa unajiuliza kama idara ya usalama inaingiza maafisa kwenye siasa kupitia chama cha kijani hapo kunakuwa na usalama kweli .?
View attachment 3336123
Idara imeanza kuinzia maafisa kwenye siasa since way back, thank to mfumo aliouacha J.K.Nyerere, although mwanzoni alikuwa malengo mazuri, na walimsaidia.

Lakin alipoondoka wakatumia mfumo huo huo kujifaidisha. Ndio haya tunayaona
 
Back
Top Bottom