Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Inakuaje vijana mmekuwa na utovu wa nidhamu kiasi hiki mpaka mnatakiwa mpimwe afya akili kabla hamjawa watumishi wa umma huko Serikalini?
Akizungumza leo Jijini Dodoma na Naibu Waziri , Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu wakati wa akifunga kikao kazi cha siku tatu cha Wakuu wa Idara za Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu katika Utumishi wa Umma amesema kuwa iko mbioni kuanzisha mchakato mpya.
Katika vigezo vipya ambavyo mtu hatahitaji kabla ya kuajiriwa Serikalini ni pamoja na kufanyiwa vipimo vya afya ya akili kabla hajaingia kuwa mtumishi wa umma.
"Sekretariati ya ajira imekuja na hiyo program ya Psychometric test ili tuweze kutambua huyu tunaempeleka kwenye utumishi wa umma ana shida mahali fulani ili tuweze kufanyia marekebisho ili akiingia aweze kutusaidia"