Naibu Waziri Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' ni kirusi kwa ustawi wa michezo, Rais amtoe wizarani

Mbona hujaeleza uhatari wenyewe uko wapi?. Uhatari huo kwa ustawi wa nchi ni wapi pana hatari. Sema tu una wivu kumuona kwa GSM,ila ungemuona kwa mo roho yako najua uaingesema neno. (Tafakari hili)
Unalia lia tred nzima lakini maudhui ya kilio chako ni yale yale tu. Hata ungewasirisha kwa mistari miwili tu ingetosha
 
Unge yaandika aya wakati Makonda kwa kutumia nafasi yake aliweza kuidhiofisha Yanga kwa kum buruza na kumbambikia mfadhili mkuu wa Yanga Yusufu Manji kesi za madawa ya kulevya ili Simba ipate nafuu baada ya ku Kaa miaka 5 mfululizo bila ubingwa.

Kitendo alicho fanya Makonda dhidi ya Manji kiliharibu maisha na biashara za Manji na kumfanya mpaka Sasa asitamani kabisa kuendelea kufanya biashara Nchini na kuhamisha mitaji na biashara zake.

Yanga pia waliathirika vibaya kwakua
tayari Manji alishafanya mapinduzi katika bajeti za uendeshaji wa timu ambapo ilifikia billion 1.3 kwa msimu.

Baada ya Makonda ku mdharilisha Manji kwa kutumia nafasi yake ki siasa akapewa nafasi ya kuwa mshauri wa MO ambaye ni rafiki yake mkubwa.

Makonda Kuna mechi alionekana akiwa katika bench la wachezji wa Akiba wa Simba pale Benjamin Mkapa kitu kilicho washangaza wadau wengi wa soka.

Baada ya Manji kuondoka Nchini Yanga iliathirika kwa kiasi kikubwa kwakua bajeti Yao haikuweza kufikia viwango vya Manji na kuanza kupitisha bakuli ili kuweza kuimarisha uendeshaji wa klabu iliyokua na Nyota wanao lipwa mishahara mikubwa

Baada ya Manji kuondoka ndipo MO aka anza kuibeba Simba kwa kuongeza bajeti za usajili na kufanikiwa kutwa makombe kadhaa.
Sasa Yanga wamepata Tajiri mwingine ambaye uwepo wake unaenda kuipoteza Simba Kwa rekodi za ndani na nje ya Nchi, anatokea mpuuzi anataka kuleta zengwe lisilo na kichwa Wala miguu.

Kwasasa hamtoweza kufanya kama Mwanzo kwakua Yanga imeji chimbia Chini Sana kukabiliana na vitu vya kipuuzi.
 
Aliyewateua kasema hadharani, wale kwa urefu wa kamba zao kama yeye.
 
nashauri ungejikita kwa bidii kwenye kazi na majukumu yako ya kujipatia kipato, kuliko kung'ag'ana na kupoteza muda kumfatulia NW yuko wapi, na nani na anafanya nini 🐒

sasa hiyo si inakupa stress tu na gubu moyoni 🐒
 
Hata MO ni muhuni tu,ninacho sisitiza viongozi wa umma waache kutumia vyeo vyao kwa manufaa yao na rafiki zao.
 
Nimemsikia Msigwa akibwabwaja bila aibu kuwa timu inayosaidia na Serikali ni ile yenye mafanikio. Wakati hiyo yéyé ni Shabiki wa Yanga na kwa namna yoyote anamaanisha kuwa Yanga ndio inastahili msaada wa Serikali. Wakumbuke kuwa Mpira ni zaidi ya Siasa. Tutafikia hatua ya kutoana roho.
 
nashauri ungejikita kwa bidii kwenye kazi na majukumu yako ya kujipatia kipato, kuliko kung'ag'ana na kupoteza muda kumfatulia NW yuko wapi, na nani na anafanya nini 🐒

sasa hiyo si inakupa stress tu na gubu moyoni 🐒
Nimetoa tu ushauli na hatari iliyopo kwa wawaziri kujifungia kwenye vyumba vya wafanyabiashara,sina stress hata kidogo.
Najua uko bongo mnaishi kichawa ndio mpate tonge! Na hamna mapenzi na nchi yetu wala hamuoni hatari ya viongozi wa umma kujifungia vyumbani na wafanyabiashara wenye historia ya ukwepaji kodi
 
Watanzania wengi ni wachoyo, wabinafsi, wasiopenda maendeleo ya wengine (ingawa wao hawafanyi juhudi zozote za maaña kùjikwamua zaidi ya kuuza karanga kwa kijiko), wenye kupenda kuharibiana ugali, wasio na matumaini, sifa nyingine malizieni
 
Wanajua ila hawajali kwakua ni wabinafsi.
 
Okay umefanya vizuri mkuu,

nawe unafanya kazi maeneo hayo ama unamuona sana NW katika nyakati zipi 🐒

Je, haukua unamuona hapo kabla awe NW? ama hukua na hiyo time coz hakua kitu 🐒

hata na hivyo tutafatilia ili kujiridhisha, usikue na wasi, we relax tu sasa 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…