Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Ya umeme itapita juu ya barabara
Kwenye madaraja ya juu ikiwa inaingia katikati ya Dar tu.
Hizo kilometer zingine njia hazina hata fence, huko madongo poromoko kama inatokea kwenye corner onyo lako no oni tu wakati ujakaa vizuri hii hapa kazi kwako kama mifugo hipo kwenye reli.
Ndugu zetu wafugaji sijui itakuwaje.
Busara ni kuanza na hii mitumba tunayoikejeli na speed limit ya 50km/ph watu waelewe hatari ya fast trains na kuacha kuichukulia poa maana watanzania tunajuana wenyeee baadae ndio tuanze kuangalia speed.
Kuwa na miundombinu yenye uwezo wa kusukuma train mpaka 160km/ph aina maana uhakikishe unapata train zenye speed hizo.
Nchi nyingi sana zina maximum speeds ya train zake way below, speed ambayo miundombinu inaruhusu.
Busara ni kuanza na train zenye speed ya 50m/ph mpaka tupate uzoefu, bado kuna swala la stress za ‘road railways’ train zinapotembea speed upkeep costs are too high maana miundombinu inakuwa too stressed. Fanya uzembe kwenye upkeep maintancr train iachie njia misiba yake 100+ ni kawaida.
Inabidi tuelewe tunaanzia wapi na hizi high speed railways risks ni nyingi sana tunapolilia train za 160km/ph.