PreGE2025 Naibu Waziri Mkuu Biteko: Hakuna mpango wa kuahirisha uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
kwa bahati mbaya, icho ndicho walichokuwa wanakitafuta ccm, wakaweka mtego, chadema wakaingia wenyewe, hawawezi kuvunja sheria kwa kuingizwa sasaivi kwa sababu sheria inasema asiyesaini imekula kwake. hawana wa kumlaumu, kilichobaki kwao ni kutuingiza kwenye machafuko (jambo ambalo ni baya sana na la kibinafsi) au kutegemea wazungu watuwekee vikwazo, pesa zipotee mtaani, na watakaoumia sio hawa wanaoshika vipaza sauti, hao kina doto na kulwa, hawa hata uchumi uwe mgumu naman gani fungu lao lipo palepale, hawatalala njaa, ila wananchi sasa? hapo utaona siasa ni mchezo mchafu wa kufaidisha wanasiasa/viongozi wachache wakati wanaowaongoza ni masikini na wanaumia.
 
Hivi hawa wauwaji mi nilijua washafanya huo uchaguzi wao kumbe bado!
 
Heche kasema jana kuwa Biteko kajimilikisha vitalu huko kwenye mbuga ya Kigosi.
 
Kwani si wameshasema mbona wanarudia rudia sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Leo anasema huyu kesho Dr Tulia, kesho kutwa Dr Mpango juzi kasema Cpa Makala.

Kwani kuna tatizo?

Tundu Lissu Hoyeee
Ila kurudiarudia No Reform, No Election ni sahihi sio?
 
Issue ni Samiah sio mgombea mwenza. Samiah akifa itabidi mchakato wa kumpata mgombea urais CCM uanze up ya.
Mradi ubishe tu, suala hapa ni uchaguzi kupelekwa, kwamba si mgombea urais tu hata mgombea umakamu akifa uchaguzi hughairishwa..hapakua na haja ya reply yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…