Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni Turufu Kuu ya Rais Samia katika kupata Kura nyingi za Kanda ya Ziwa

Wewe huwajui vizuri wasukuma hata kidogo yaani huna abc za wasukuma hata kidogo ukitaka kujua wasukuma Wana ubinafsi fanya mambo yafuatayo

Mosi, eneo Hilo wawe wasukuma tu na kabila kingne kidogo halaf wawe. Na maduka ya kuuza vitu mbalimbali nenda wewe wa kabila lingne jichomeke pale utakubali show!

Pili, zitokee nafasi na wewe unaomba halaf mkubwa pale awe msukuma halaf waonbe wasukuma wenzake ambao unajua kabisa vigezo unawazid then wawe wengi nafasi ni chache utakubali huo mziki

Tatu, uishi nao wasukuma wengi halaf nyie wengne wachache itokee waibiwe mtajua hamjui Mimi nimeishi nao sana SEMA tu ni Kwa vile kabila letu walikuwa wanaliogopa hivyo wasingeweza kufanya chochote
 
Mkuu Bado ruvuma wapo ingawa syo wengi??
 
Upo sahihi, Ilemela walichaguwa mbunge Mchaga Highness Kiwia, Wakamtosa Msukuma mwenzao Anthony Diallo.
 
Hizi nadharia zenu zingekuwa na msingi wowote Nelson Mandela asingekuwa Rais wa South Africa, Chief Mangosuthu Buthelezi ndio angekuwa Rais.

Kura hazipigwi hivyo, siasa ni sayansi na ushawishi.

Ingekuwa ni hivyo Lisu asingepata watu kwenye mikutano yake Chato.
 
Usukumani unayoijua ni mikoa ipi tuanzie hapo kwanza
anzia mwanza, geita, simiyu, shinyanga, haifikishi majimbo 150? Ongeza mikoa mingine waliko, tabora, kigoma, ruvuma, kagera, mara, katavi, rukwa, mbeya, singida, bado majimbo 150 hayatimii? Tatizo wengi ni ccm na hawana muamko wa siasa za mageuzi
 
Asee wasukuma hatari sana, wako wengi. Yaani ndani ya miaka 10 kijiji chetu kimemezwa chote, lugha imegeuka ni ya wasukuma, inauma sana.
kuna vijiji wilayani manyoni/itigi na wilayani ikungi mkoani singida wasukuma ni wengi kiasi cha kufanya lugha yao kuwa ndiyo lugha kuu ya kijiji. Wana sikukuu zao za mavuno na mila na desturi zao hufanyika utadhani wapo katika ardhi ya asili yao huko sukumaland. Uzuri wanaishi vizuri na wenyeji waliowakuta japo wanajaza vijiji hivyo huko walikohamia
 
Mikoa ya kilimanjaro, arusha na manyara kuna vijiji wasukuma wanaweza kuhamia na kujaa kwa wingi ila wasiwe wafugaji kwa kuwa tayari vijiji hivyo vina wafugaji wa kimasai, wasonjo na wabarbaigi
 
Huu upuuzi wa kusema wasukuma wanasikitishwa na kuondokewa na mtu wao ukome kwani yeye alikua nani mpaka asife? Aliambiwa achukuwe tahadhari ya korona akaleta ujuaji akafa naona kama mnataka kuibeba kama agenda narudia tena huo ni upuuzi.
Ni upuuzi ndio lakini ndio ukweli wenyewe upende ukubali upende ukatae,,
 
Dotto biteko kisiasa bado hana mixixi ya ushawishi kwa kanda ya ziwa na isitoshe 2025 hata huko ndani ya CCM kutakuwa na kundi lingine liki oppose kundi Samia.

Haitakuwa kazi rahisi ki viile!
 
Kanda ya Ziwa ndiyo yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa mingi na yenye Wapiga Kura wengi na ambao Wakiudhiwa na wasipotulizwa wanaweza kufanya Maamuzi yasiyotegemewa katika Sanduku la Kupiga Kura.
Acha uongo Dr Slaa alizoa kura Kanda nzima ya ziwa ila Bado mkaenda mtangaza JK Kashinda. CCM haijawahi tegemea kura za wananchi kushinda kama unabisha angalia 2020.

Kata yetu diwani alipita bila kupingwa na mbunge alipita bila kupingwa..... Ila kura za Urais wananchi walijitokeza 100% na eti 100% wakamchagua JPM. Sasa kwa staili hiyo unadhani wanategemea kura za sisi wananchi?

Acheni kutuletea propaganda za ajabu
 
Anaandaliwa kuwa waziri mkuu 2025 Katelephone atakuwa keshamaliza miaka yake 10 anakula pesion tuu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dotto biteko kisiasa bado hana mixixi ya ushawishi kwa kanda ya ziwa na isitoshe 2025 hata huko ndani ya CCM kutakuwa na kundi lingine liki oppose kundi Samia.

Haitakuwa kazi rahisi ki viile!
Hata mimi huo ushawishi wa Dotto kwa wasukuma siuoni, jina lake huku halisikiki kabisa. Ushawishi anaoweza kuwa nao labda nguvu ya pesa, vinginevyo sioni kama ana ngome kiasi hicho. Pia watu wa huku hupenda kutambua wageni kama watu wa kuja tofauti na wao wazawa. Sioni influence yake kwa wasukuma.
 
Jamaa anaboa sana ana ushabiki wa kijinga as if ana Cheo hapo upinzani
 
I totally agree🙏🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…