kj75
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 539
- 637
Wewe huwajui vizuri wasukuma hata kidogo yaani huna abc za wasukuma hata kidogo ukitaka kujua wasukuma Wana ubinafsi fanya mambo yafuatayoAcha uongo wewe... Mimi nimezaliwa Usukumani na nimefanya kazi Usukumani tena nimeingia mpaka kule Bush ndani ndani... Wasukuma hawana Ukabila kabisa, mimi nimepokelewa Usukumani hakuna anayenijua ila nimepewa Misosi ya kila aina tena bure kabisa... Kidogo nipewe na mke ila nikakataa kwa sababu nilikuwa ninae mtoto mzuri.
Dotto Biteko mwenyewe ni msukuma, kazaliwa huko Geita. Na ni mbunge wa huko Geita. Kuhusu Angelina Mabula hakuna mtu anayeumia kwa sababu Angelina Mabula ni mbunge wa Mwanza mjini jimbo la Ilemela. Jimbo la Ilemela lina watu wa makabila mengi sana, kutolewa kwa Angelina Mabula hakuwezi kufanya watu wa Ilemela kukasirika.
Hapo kwenye Wasukuma na Ukabila umezingua, japo mimi sio msukuma. Wenye ukabila ni hayo makabila ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro huko ndiko kuna Ukabila, hao jamaa na wakenya tabia zao ni moja
Mosi, eneo Hilo wawe wasukuma tu na kabila kingne kidogo halaf wawe. Na maduka ya kuuza vitu mbalimbali nenda wewe wa kabila lingne jichomeke pale utakubali show!
Pili, zitokee nafasi na wewe unaomba halaf mkubwa pale awe msukuma halaf waonbe wasukuma wenzake ambao unajua kabisa vigezo unawazid then wawe wengi nafasi ni chache utakubali huo mziki
Tatu, uishi nao wasukuma wengi halaf nyie wengne wachache itokee waibiwe mtajua hamjui Mimi nimeishi nao sana SEMA tu ni Kwa vile kabila letu walikuwa wanaliogopa hivyo wasingeweza kufanya chochote