Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Umeme umeanza kuimarika wapi mkuu?Nani kwanza anayemjua Biteko huko Kanda ya Ziwa?
Tunashukuru umeme sasa hali imeanza kuimarika taratibu hayo mengine ni porojo tu!
Kaombe Passport na pua yako ya Kinyarwanda na lafudhi ya kikenya, ndiyo utajua kama Rwanda , Congo na nchi nyingine ni Makoloni ya Ujerumani au lah!Ubaguzi....
Tanganyika ,Urundi-Rwanda-Koloni la mjerumani.
Tunaangaliana kwa PUA ? !!
Binafsi ni mchanganyiko wa makabila kadhaa...
1)Baba Mnyakyusa-Mhehe
2)Mama Msukuma-Mnyamwezi-Mtutsi-Mdoe
Haya kwetu ni KONGO?[emoji44]
Kwetu ni Rwanda- Urundi?![emoji44]
Kwetu ni Malawi ?!![emoji44]
Upumbavu [emoji1787][emoji1787]
KabsaaWabaguzi wakubwa.....
Say no to liceismUbaguzi huo.....
Baada ya kushushwa ile bendera ya UNION JACK ....baba wa taifa akatuasa kuwa wote ni WATANGANYIKA....
TATIZO letu vijana hatupendi kusoma vitabu vyake[emoji26]
Tukitafute "TUJISAHIHISHE"....
#Say No To Racism[emoji120]
#Say No To Bigotry [emoji120]
#Say No To Misogyny [emoji120]
Kahama kwa sasa zinafika hadi siku mbili,tatu mfululizo tunapata 24hrs!
Mzee wa maokoto...Aliyeokota point yoyote hapa anisaidie wajameni.
DaaahKaombe Passport na pua yako ya Kinyarwanda na lafudhi ya kikenya, ndiyo utajua kama Rwanda , Congobna nchi nyingine ni Makoloni ya Ujerumani au lah!
Ndiyo utajua kama ninyi ni wamoja au ni ngonjera tu.
Sawa....Say no to liceism
Mtusi.Kwani D. Biteko kabila gani?
Umekosea kidogo. Wote ni watusi. Asili yao ni Burundi, siyo Rwanda.BIteko ni kama Magufuli, sio msukuma asilia bali ni Mnyarwanda
.....ni watanzania...Umekosea kidogo. Wote ni watusi. Asili yao ni Burundi, siyo Rwanda.
Mpaka muda huu, Mwanza ni giza totoro.
Tumewapokea na kuwakubali kuwa Watanzania wenye asili ya Burundi japo hawakufuata sheria za kuukana urai wa wazazi wao kama sheria inavyotaka......ni watanzania...
Kwa ule ushamba Biteko lazima ni msukuma na kama sio msukuma mi nataka awe msukuma tu ndo najisikia vizuri....Kuanzia lini Dotto akawa msukuma?
Wahimbaji wa dhahabu huko usukumani ndio wanamjua.Nani kwanza anayemjua Biteko huko Kanda ya Ziwa?
Tunashukuru umeme sasa hali imeanza kuimarika taratibu hayo mengine ni porojo tu!
MtusiKwani D. Biteko kabila gani?
Siku ukiamka usingizini ndio utajuaKuanzia lini Dotto akawa msukuma?
Ndio masomo gani hayo!= Magufuli
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Dotto nwenyewe mbona hana ushawishi wowote ?Rais Magufuli wakati yupo hai aliwaimarisha sana Wasukuma na kuwafanya wawe wamoja, sasa baada ya kufa walisambaa sana kama kondoo waliokosa mchungaji.
Sasa kule Kanda ya Ziwa Wasukuma bado wanaamini Magufuri hana mbadala, hawana habari kabisa na Rais Samia. Picha Hayati Magufuri bado zinatamba kwenye hoteli na saloon, wananchi wa kawaida bado hawapo na Rais Samia!
Sasa Rais Samia ametafakari vizuri kuwapelekea Biteko ili awakusanye awarejeshe kwenye ule umoja na kuwafanya waanze kuwa na imani nae na hii ndio kazi kuu ya Biteko, kuifanya Kanda ya Ziwa iwe mikononi na kuua kabisa Sukuma gang, maana kazi anayoifanya Waziri Mkuu Majaliwa ilikuwa haihtaji msaidizi.