Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni Turufu Kuu ya Rais Samia katika kupata Kura nyingi za Kanda ya Ziwa

Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni Turufu Kuu ya Rais Samia katika kupata Kura nyingi za Kanda ya Ziwa

Ubaguzi....

Tanganyika ,Urundi-Rwanda-Koloni la mjerumani.

Tunaangaliana kwa PUA ? !!

Binafsi ni mchanganyiko wa makabila kadhaa...

1)Baba Mnyakyusa-Mhehe
2)Mama Msukuma-Mnyamwezi-Mtutsi-Mdoe

Haya kwetu ni KONGO?[emoji44]
Kwetu ni Rwanda- Urundi?![emoji44]
Kwetu ni Malawi ?!![emoji44]

Upumbavu [emoji1787][emoji1787]
Kaombe Passport na pua yako ya Kinyarwanda na lafudhi ya kikenya, ndiyo utajua kama Rwanda , Congo na nchi nyingine ni Makoloni ya Ujerumani au lah!
Ndiyo utajua kama ninyi ni wamoja au ni ngonjera tu.
 
Ubaguzi huo.....

Baada ya kushushwa ile bendera ya UNION JACK ....baba wa taifa akatuasa kuwa wote ni WATANGANYIKA....

TATIZO letu vijana hatupendi kusoma vitabu vyake[emoji26]

Tukitafute "TUJISAHIHISHE"....

#Say No To Racism[emoji120]
#Say No To Bigotry [emoji120]
#Say No To Misogyny [emoji120]
Say no to liceism
 
Kaombe Passport na pua yako ya Kinyarwanda na lafudhi ya kikenya, ndiyo utajua kama Rwanda , Congobna nchi nyingine ni Makoloni ya Ujerumani au lah!
Ndiyo utajua kama ninyi ni wamoja au ni ngonjera tu.
Daaah

Pole mkuu....wewe ni mgonjwa....
 
Rais Magufuli wakati yupo hai aliwaimarisha sana Wasukuma na kuwafanya wawe wamoja, sasa baada ya kufa walisambaa sana kama kondoo waliokosa mchungaji.

Sasa kule Kanda ya Ziwa Wasukuma bado wanaamini Magufuri hana mbadala, hawana habari kabisa na Rais Samia. Picha Hayati Magufuri bado zinatamba kwenye hoteli na saloon, wananchi wa kawaida bado hawapo na Rais Samia!

Sasa Rais Samia ametafakari vizuri kuwapelekea Biteko ili awakusanye awarejeshe kwenye ule umoja na kuwafanya waanze kuwa na imani nae na hii ndio kazi kuu ya Biteko, kuifanya Kanda ya Ziwa iwe mikononi na kuua kabisa Sukuma gang, maana kazi anayoifanya Waziri Mkuu Majaliwa ilikuwa haihtaji msaidizi.
Dotto nwenyewe mbona hana ushawishi wowote ?
 
Back
Top Bottom