Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko: Tuna wanafunzi waliomaliza kidato cha 6 na digrii lakini hawawezi kupika chakula

Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko: Tuna wanafunzi waliomaliza kidato cha 6 na digrii lakini hawawezi kupika chakula

Utafikaje Misungwi huku wakati upo Kariakoo Dar ukikusanya maokoto?

Kama PM yako iko wazi sema nikutumie picha yangu. I am 78 yrs old for sure!📌
Hata hii ya Misungwi unanipanga 😹😹

Pm nimefunga, kuna member alikuja akaanza kunielekeza vitu vya ajabu..!! Nikimwambia mkuu acha hasikii ndio km nachochea moto na petroli 🤣🤣
Nikamlamba block nikaifunga..!
 
Biteko mwenyewe anafaida gani kwa Tanzania zaidi ya kunenepa na kulea kitambi tu.

TANESCO chini ya usimamizi wake imetengeneza hasara ya billioni 32.

Ukiwasikiliza hawa watu na kuona ulinzi wao, unaweza dhani watu wa maana.

Lakini hakuna lolote zaidi ya watu wajinga na wa hovyo.

Ni vipi TANESCO imetengeneza hasara ya billioni 32 is beyond me, hapo bado upuuzi wa sector nyingine zilizo chini yake.

Biteko hakuna kitu ni gharasha tu
 
Wa kwako wenyewe hawajui na mmesema VETA ndio suluhisho, kaa kimya
 
Akiwa anazungumza leo kwenye kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Miaka 50 ya Veta iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema ni kawaida kuona mtoto amemaliza kidato cha sita ama digrii ya elimu fulani, lakini hawezi kujipikia chakula chake mwenyewe.

Amesema Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) ina uwezo na jukumu la kubadilisha Tanzania kama jamii itakubaliana watoto kupata stadi fulani kwa ajili ya kuboresha maisha.

View attachment 3278812
Sio hoja.
Wapo wana PHD na hawa juwi kupika.
Hoja hicho walicho somea wanakijuwa na kina saidia nini katika Taifa letu.

kama hujuwi kupika siutakula nje au kwa mama ntilie.

Wapatieni kazi wasomi au wapeni maarifa ya kujiendeleza, na muache miradi kuwapa company za nje.
 
Hata hii ya Misungwi unanipanga 😹😹

Pm nimefunga, kuna member alikuja akaanza kunielekeza vitu vya ajabu..!! Nikimwambia mkuu acha hasikii ndio km nachochea moto na petroli 🤣🤣
Nikamlamba block nikaifunga..!
Kwa hiyo huyo boya ndo katuharibia wote tukiwemo sisi wazee? Hebu fungua hiyo PM uone miujiza 😂

Anyway. Siku ikitokea ukapita hizi pande za Misungwi kwa ishu za madini au zinginezo basi karibu unisaidie angalau kuchuma nyanya
 
Nyanya 🍒 tena kaka?? 😹😹
 
Akiwa anazungumza leo kwenye kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Miaka 50 ya Veta iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema ni kawaida kuona mtoto amemaliza kidato cha sita ama digrii ya elimu fulani, lakini hawezi kujipikia chakula chake mwenyewe.

Amesema Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) ina uwezo na jukumu la kubadilisha Tanzania kama jamii itakubaliana watoto kupata stadi fulani kwa ajili ya kuboresha maisha.

View attachment 3278812
Huyu nae kashiba , alivyo kua pale chuo Kigurunyembe ,Morogoro ,chuo cha ualim mbona alikua mpole sana na friendly leo kalamba asali anaanza kutusimanga ? Malipo hapahapa Dunini.

Binadam fanya yote ila ni kosa sahau ulipotoka wakuu
 
Kujua kupika ni life skill.

Ni jukumu la wazazi nyumbani kuwafunza watoto wao ustadi wa kukabiliana na maisha.

Halafu kupika wala siyo rocket science.
Njaa ikikuzidi utajua tu kupika. Na siku hizi shule ya upishi wa kila kitu iko YouTube.

Amandla...
 
Kakati kuna wenye PhD na masters hawawexi hata kuweka bulb au kurekebisha socket ya umeme kwao mpaka amite fundi umeme, kwahiyo wote tuende Veta si ndiyo mkuu?

..au PhD lakini hajui kuzungumza Kiingereza.🤣
 
Back
Top Bottom