Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,656
- 9,074
Veta ndiyo habari ya mjini.
Shule kila kitu, soma acha kupoteza muda kupika na kufanya kazi za nyumbaniTaasisi ya familia itakuwa imeyumba kuwapa watoto basics za upikaji. Kila mtu yupo busy si baba si mama.
Anatafuta kikiAkiwa anazungumza leo kwenye kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Miaka 50 ya Veta iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema ni kawaida kuona mtoto amemaliza kidato cha sita ama digrii ya elimu fulani, lakini hawezi kujipikia chakula chake mwenyewe.
Amesema Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) ina uwezo na jukumu la kubadilisha Tanzania kama jamii itakubaliana watoto kupata stadi fulani kwa ajili ya kuboresha maisha.
View attachment 3278812