Naibu Waziri TAMISEMI apongeza watumishi wa TAMISEMI kwa kuendesha Uchaguzi kwa haki. Asema malalamiko ni kawaida

Naibu Waziri TAMISEMI apongeza watumishi wa TAMISEMI kwa kuendesha Uchaguzi kwa haki. Asema malalamiko ni kawaida

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Wiki chache baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Naibu Waziri Ofisi ya Rais,Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI )Dkt. Festo Dugange amewapongeza watumishi wa TAMISEMI kwa kusimamia Uchaguzi vizuri

Dugange amesema kuwa pamoja na malalamiko yaliyokuwepo kutoka kwa wapinzani, lakini malalamiko hayo ni madogomadogo na ni kitu cha kawaida kwenye Uchaguzi

================================================

Sikujua kuwa wizi wa kura na kuengua wagombea ni makosa madogo madogo.

Tuna safari ndefu

 
Back
Top Bottom