The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ametolewa na nani wewe kengeAmeshatolewa mbwiga wewe
Korosso siyo chawas kama wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ametolewa na nani wewe kengeAmeshatolewa mbwiga wewe
Korosso siyo chawas kama wewe
Umesema kweli! Mollel ana inferiority complex!Pimbi ni Mollel anayeingilia Taaluma za watu
kabla ya kusona habari yote nilijua huyu jamaa kamjibu waziri vibaya lakini baada ya kusoma wala sioni kosa lake,kwa sababu yeye amesema yupo tayari kufukuzwa kazi kwa sababu ana uhakika na usahihi wa maelezo aliyotoa,Shida ni kwamba hii serikali ya CCM haipendi watu wanaojiamini,wanataka watu wa ndio mzeeKuna ubabe gani kwenye majibu? Huyu naibu waziri kilaza anaamrisha mtu awekwe ndani kwa kosa gani? Jaribu kutumia akili hata kidogo.
Injinia kaonyesha yeye siyo njaanjaa,kasema yuko tayari hata kufukuzwa.Huo ndiyo utaalamu wenyewe,Mollel kajikosha tu.Toa upumbavu wako hapa,kama una taaluma nenda Kwa baba yako ndio ukaongee upumbavu wako..
Ndio hivyo yuko Ndani saizi.
Taaluma lazima itetewe,tuache njaanjaa.Wakati mwingine inabidi ujishushe tu
Msisha yaendele,sasa huyo injinia atapigwa zengwe mwisho wa siku
Atasota tu
Ova
kumbe unamjua vizuri.. Mollel kilaza sanaIfike wakati sasa wanataaluma wajitambue kama alivyo Eng Paul Korosso
Wanasiasa wakishalambaga asali wanakuwaga wajinga sana, tusiwavumilie tuwape za uso
Dr Mollel hata kung'oa mtu jino hawezi japo ndio fani yake
Ilitakiwa waziri achambue hesabu na siyo kumsweka ndani.JAMAA YUKO PERFECT... HESHIMA KWAKE.
Vijana wajinga kama nyie mnakidhalilisha Chama Cha Mapinduzi.Chadema watapinga
Misuse of power ~BarokaTangu lini Naibu Waziri amekuwa na mamlaka ya kumtia mtu ndani? Au hata kumshusha cheo mtumishi wa umma? Tangu lini kumjibu vibaya kiongozi yeyote imekuwa kosa la jinai?
Hivi nani atamfungulia mashtaka huyo Injinia? Na hao ma dc na wengine wametajwa wapi katika mkataba? Kushirikishwa kwao ni privilege sio right. Wao kama wanataka iwe right, waiingize kwenye mkataba wa ujenzi kuwa msimamizi wa mradi atawajibika kwa DC na kamati zake.
Alipokosea injinia ni kwenye suala la Force Account. Yeye angeishia kusema tu kuwa Suma kazi imewashinda na atafutwe mkandarasi mwingine. Force account itumike kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo na kuziba mashimo ya barabarani lakini sio kwenye miradi complex kama hospitali. Kwa kusema hivyo, nimeingia shaka na uwezo wake na huyo mwenzake wa mkoani.
Ila kwenye hili, amfungulie mashtaka Naibu Waziri kwa matumizi mabaya ya nafasi yake na kumuonea. Labda ndio yeye na wenzake watajifunza kuwa wao ni viongozi sio wanyapara.
Amandla....
Hivi kusema.ukweli ndo utovu wa nidhamu hata kunchinja kichwa kama yohana?Si angeulizwa udhibitisho?Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ameagiza kuondolewa madarakani kwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa wizara hiyo, Paul Koroso kutokana na mgogoro ulioibuka katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe unaotekelezwa kwa gharama ya zaidi ya Sh2.9 bilioni.
Dk Mollel pia ameagiza Koroso aswekwe mahabusu akidai amemtolea majibu na lugha ya kijeuri kuwa “hajali lolote hata akifukuzwa kazi”.
Dk Mollel ametoa maagizo hayo Julai 5 akiwa mjini Nansio Ukerewe alipofika kutatua mgogoro uliobuka kuhusu utekelezaji wa mradi wa ujenzi hospitali ya Rufaa ya mkoa katika kisiwa hicho ndani ya Ziwa Victoria.
"Kutokana na changamoto zilizojitokeza kwenye mradi huu, Koroso utakoma kuwa mkuu wa Idara ya Ujenzi Wizara ya Afya. Katibu mkuu atamteua mkuu mpya wa idara ambaye atakuja kusimamia mradi wa Ukerewe," alitangaza Dk Mollel.
Pamoja na viongozi na wataalamu wa Wizara, mkoa na wilaya, kikao hicho pia kilihudhuriwa na viongozi wa CCM, halmashauri na mkandarasi Suma JKT.
Miongozi mwa malalamiko yaliyotolewa na viongozi wa Wilaya ya Ukerewe dhidi ya Koroso ni kutowashirikisha viongozi wa wilaya na halmashauri katika utekelezaji wa mradi huo.
"Ofisi ya DC, halmashauri na CCM Wilaya ya Ukerewe hawakushikishwa katika utekelezaji wa mradi huu," Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Kanali Denis Mwila alimweleza Dk Mollel.
Muda mfupi kabla ya amri ya kuswekwa mahabusu, Koroso alimweleza Naibu Waziri huyo kuwa Serikali ingeokoa kati ya Sh180 milioni hadi Sh260 milioni iwapo ungetekeleza mradi huo kwa mtindo wa Force account (kutumia nguvu za wananchi) badala ya ukandarasi.
Kiwango kilichotajwa na Koroso kilitofautiana na kiwango cha Sh600 milioni kilichotajwa na mhandisi wa mkoa wa Mwanza, Chagu Nghoma.
Kutokana na tofauti hiyo, Dk Mollel akamtaka Koroso kutoa ufafanuzi, ndipo akasisitiza kuwa hesabu zake ndizo sahihi kwa mujibu wa kanuni na msingi wa kitaaluma na kwamba yuko tayari kuchukullwa hatua yoyote.
"Mheshimiwa Naibu Waziri, kiwango nilichotaja kimezingatia kanuni, vigezo na hesabu za kitaaluma; nitaendelea kusisitiza hilo hata kama ukinifukuza kazi sitajali," alisema Koroso.
Kutokana na kauli hiyo, Koroso aliyeketi jirani na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi Wilaya ya Ukerewe akajikuta anawekwa chini ya ulinzi na kupelekwa mahabusu.
Chanzo: Mwananchi
na bwana wako.Ametolewa na nani wewe kenge
Ofisi ya DC, halmashauri na CCM Wilaya ya Ukerewe hawakushikishwa katika utekelezaji wa mradi huu," Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Kanali Denis Mwila alimweleza Dk Mollel.
Hii nchi ina vituko kweli kweliMheshimiwa Naibu Waziri, kiwango nilichotaja kimezingatia kanuni, vigezo na hesabu za kitaaluma; nitaendelea kusisitiza hilo hata kama ukinifukuza kazi sitajali," alisema Koroso.
Kutokana na kauli hiyo, Koroso aliyeketi jirani na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi Wilaya ya Ukerewe akajikuta anawekwa chini ya ulinzi na kupelekwa mahabusu.
Taaluma ndio inafundisha kumjibu kijeuri waziri,huyo awekwe ndani na afilisiwe kabisa,,ana vijisenti vinampa kibriPimbi ni Mollel anayeingilia Taaluma za watu
Ile sura ya Mollel ni ya Waziri kweli?Taaluma ndio inafundisha kumjibu kijeuri waziri,huyo awekwe ndani na afilisiwe kabisa,,ana vijisenti vinampa kibri
Wewe Naibu waziri Mollel unataka wananchi wasiongee na wakuogope wakati unatumia nafasi uliyopewa vibaya na ovyo!. Mamlaka ya kumsweka ndani injia na kuamuru aondolewe kwenye nafasi yake uliyatoa wapi?. Unafahamu kuwa wewe ni mamluki na unaharibu image ya chama Cha mapinduzi?. Haujui kuwa wewe ni msaliti na ndiyo sababu uliwasaliti wananchi waliokuchagua pale ulipojiuzulu ubunge wa chama chako (CHADEMA) kilichokupa nafasi ukashinda Kisha ukakisaliti kwa kujiuzulu without any genuine reasons na ukabebwa sijui kwa mbeleko gani ukajiita mwanaCCM?. Watumishi wa umma kwa muda mrefu wamekuwa ni wahanga wa kudhalilishwa na wanasiasa na ni vema tabia hii mbovu na ya ovyo ikakemewa na kutokomezwa kabisa. Ni vema ukatumie nafasi uliyo nayo vizuri na utambue kuwa cheo ni dhamana.Tangu lini Naibu Waziri amekuwa na mamlaka ya kumtia mtu ndani? Au hata kumshusha cheo mtumishi wa umma? Tangu lini kumjibu vibaya kiongozi yeyote imekuwa kosa la jinai?
Hivi nani atamfungulia mashtaka huyo Injinia? Na hao ma dc na wengine wametajwa wapi katika mkataba? Kushirikishwa kwao ni privilege sio right. Wao kama wanataka iwe right, waiingize kwenye mkataba wa ujenzi kuwa msimamizi wa mradi atawajibika kwa DC na kamati zake.
Alipokosea injinia ni kwenye suala la Force Account. Yeye angeishia kusema tu kuwa Suma kazi imewashinda na atafutwe mkandarasi mwingine. Force account itumike kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo na kuziba mashimo ya barabarani lakini sio kwenye miradi complex kama hospitali. Kwa kusema hivyo, nimeingia shaka na uwezo wake na huyo mwenzake wa mkoani.
Ila kwenye hili, amfungulie mashtaka Naibu Waziri kwa matumizi mabaya ya nafasi yake na kumuonea. Labda ndio yeye na wenzake watajifunza kuwa wao ni viongozi sio wanyapara.
Amandla....
Huyu naibu waziri ana mambo ya kishoga shoga sana nadhani ndio chanzo cha koroso kufyatua hili bomuMheshimiwa Naibu Waziri, kiwango nilichotaja kimezingatia kanuni, vigezo na hesabu za kitaaluma; nitaendelea kusisitiza hilo hata kama ukinifukuza kazi sitajali," alisema Koroso.