Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile aelezea aina za Barakoa za kuvaa na Utaratibu wa kutengeneza ya kitambaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jinsi ya kutengeneza barakoa (mask) ya kujikinga na corona kwa tumia soksi

 
Mbona naibu waziri kabadili maelekezo.pia ubunge unaingiaje hapo Wa kigamboni?
 
Naibu waziri yupo sahihi,sasa wewe unawezaje kumsikiliza mr.zero ni bahati nzuri tu Tanzania tuna nafasi nyingi za uteuzi na mteuaji ndo anajua sifa za mteuliwa na si matakwa ya nafasi husika otherwise tusingekuwa na akina bashite
 
Kwenye kutafuta kiki wanaishia kuyumbisha watu, kama watu wanamudu barakoa za vitambaa wavae, wale wenye pesa watumie zile zilizo bora zaidi N95, vipato havifanani....lakini muhimu kujikinga kwa namna yoyote ile...
 
Dr Ngungulile ni MD
 
unaleta siasa za kizushi sana ! Waziri hajalisema leo hilo jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…