samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,265
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bavicha imefanyaje ?Bavicha huyo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujue tatizo ni kwamba, hata hao tunaopaswa tuwasikilize sio wataalamu wa Afya, ni full kuchanganyana tu.
Tuliambiwa tumsikilize Rais, M/Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Afya, na mwingine mmoja, niambie, kati ya hao nani mwenye utaalamu wa hayo mambo?
Utakuta wanapewa ushauri mzuri na wataalamu wa Afya, then badala waulete kwetu kama ulivyo, wanauchanganya na ujuaji wao kidogo, matokeo yake ukifika kwetu unakuwa haueleweki.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenyewe wanachoka kumtetea....unadhani sa ingine akili haziwakai sawa
Amesema Naibu waziri wa afya Dr Ndugulile!
Naibu waziri yupo sahihi,sasa wewe unawezaje kumsikiliza mr.zero ni bahati nzuri tu Tanzania tuna nafasi nyingi za uteuzi na mteuaji ndo anajua sifa za mteuliwa na si matakwa ya nafasi husika otherwise tusingekuwa na akina bashiteHapa anahitajika mganga mkuu wa serikali kutoa msimamo wa kitaifa juu ya Barakoa tunazopaswa kutumia na namna ya matumizi yake.
Tumeshalisikia agizo la RC Makonda kwamba tuvae barakoa hata za Leso na vitambaa vingine na tumemsikia pi Naibu waziri wa afya Daktari Ndugulili kwamba kitambaa hakizuii virusi wala bakteria kumdhuru mtu. Wote tunawashimu na mawazo yao pia.
Ndiposa namuomba mganga mkuu wa serikali atoe ufafanuzi wa kitaifa utakaojikita kwenye sayansi na uchumi.
Naomba kuwasilisha.
Maendeleo hayana vyama!
inazuia droplets kama ukipiga chafya au kama ukiwa unaongea kwa kutoa manyunyu.. all in all ni kama vile ukipiga chafya unatumia leso.. every little helps
Dr Ngungulile ni MDHapa anahitajika mganga mkuu wa serikali kutoa msimamo wa kitaifa juu ya Barakoa tunazopaswa kutumia na namna ya matumizi yake.
Tumeshalisikia agizo la RC Makonda kwamba tuvae barakoa hata za Leso na vitambaa vingine na tumemsikia pi Naibu waziri wa afya Daktari Ndugulili kwamba kitambaa hakizuii virusi wala bakteria kumdhuru mtu. Wote tunawashimu na mawazo yao pia.
Ndiposa namuomba mganga mkuu wa serikali atoe ufafanuzi wa kitaifa utakaojikita kwenye sayansi na uchumi.
Naomba kuwasilisha.
Maendeleo hayana vyama!
unaleta siasa za kizushi sana ! Waziri hajalisema leo hilo jamboHapa anahitajika mganga mkuu wa serikali kutoa msimamo wa kitaifa juu ya Barakoa tunazopaswa kutumia na namna ya matumizi yake.
Tumeshalisikia agizo la RC Makonda kwamba tuvae barakoa hata za Leso na vitambaa vingine na tumemsikia pi Naibu waziri wa afya Daktari Ndugulili kwamba kitambaa hakizuii virusi wala bakteria kumdhuru mtu. Wote tunawashimu na mawazo yao pia.
Ndiposa namuomba mganga mkuu wa serikali atoe ufafanuzi wa kitaifa utakaojikita kwenye sayansi na uchumi.
Naomba kuwasilisha.
Maendeleo hayana vyama!
Kabisa bwashee!Dr Ngungulile ni MD
Hata angesema Leo tofauti ni nini?unaleta siasa za kizushi sana ! Waziri hajalisema leo hilo jambo