Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Chizi anaonekana kwa macho na kauli zake tu! Ushawahi kumuona na kumsikia Mollel hivi karibuni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipinga waziwazi barakoa za kushona,na kujifukiza. Alikuwa anasolve kisayansiNdungulile ulitaka nini kwenye ripoti ya mapapai?
Kwani tz kuna bunge?
Kwa hiki unachokiongea hapa kati ya wewe na yeye nani ni chizi hapo?Chizi anaonekana kwa macho na kauli zake tu! Ushawahi kumuona na kumsikia Mollel hivi karibuni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yaani!! Uzuri wa jamaa hapigi vijembe kisomi kama wenzake, kwa hiyo tujiandae kusikia mengi (YA NGUONI) kuhusu EAC kwa ujumla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio mtaalam wa magonjwa ya kuambukiza.
Huna ulijualo
Hahahahhahahahahahaha, ndiko tunakoelekea huko, ila Mimi wakianza kurushiana maneno nitamshabikia yuleeeeeeeEAC nchi ya kidiplomasia ilikuwa ni Tz peke yake, ila kwa sasa mambo ni tofauti kabisa
Angalia Burundi, Uganda, S.Sudani, Rwanda, Kenya alafu Tz. Hawa watu hawakai meza moja, sasa kilichobaki tusubiri jiwe aongee ili tujue ni lini hasa tunagawana fito rasmi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisimamia taaluma hiyo ndiyo hatma yako!DKT FAUSTINE NDUGULILE ATENGULIWA
View attachment 1452133
Rais John Pombe Magufuli amemtengua Dr Faustine Ndugulile Naibu Waziri Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na Mbunge wa Kigamboni.
Nafasi hiyo imechukuliwa na Dkt Godwin Mollel, Mbunge wa Siha, aliyeteuliwa Mei 16 kushika nafasi ya Dkt Ndugulile
Uteuzi wa Dkt Mollel unaanza Mei 16, 2020
Faustine aliteuliwa 07 Oktoba 2017 akichukua nafasi ya Khamis Kigwangala aliyeenda kuwa Waziri wa Utalii
Zaidi, soma
1). Tumwamini nani kati ya Rais Magufuli au Daktari Ndugulile kuhusu kujifukiza ili kukabiliana na COVID-19? - JamiiForums
2). Hongera Dkt. Faustine Ndugulile, Naibu Waziri wa Afya - JamiiForums
Naongelea kuhusu Coronavirus. Faustine ni Virologist na ni Epidiemologist. Kwa hiyo Covid kama ugonjwa wa mlipuko uliosababishwa na virus ndo eneo lake kabisa. Kosa lake ni kufuata Sayansi.Utaalamu upi wa kuzika maiti usiku wa manane na mahali pasipostahili!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo tutegemee kila jumamosi anatumbua?Halaf siku hizi mkulu akitaka kuongea bas ni J2
Sikiliza vijembe vya kesho sasa
Mi mwenyewe sijawahi msikia akisifu sifu ovyo labda Kama ataanza saiviNdungulile alikua mtu ambaye yuko straight hana mambo ya kupindisha na sikuwahi kumsikia akimsifia mh Rais kwa unafki yeye alikua akijibu au kutoa shule kwa kile alichoulizwa basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
The right person, in the right job, with the right skills, at the right time.
Ni Kenya tu unakoweza kupata kaupenyo ka kutembeza makario yako!Hahahahhahahahahahaha, ndiko tunakoelekea huko, ila Mimi wakianza kurushiana maneno nitamshabikia yuleeeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Alotruliwa dakt by professional.kama hujui ni vyema ukawa kimya tu.Sema wewe mkuu mtu amesoma HGL wapi na wapi na sayansi!
..wewe na nani hamumtaki????☹️☹️