Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Kukosoa UPUUZI wa kupiga Nyungu ndiyo kumemponza Dkt Ndugulile, hii nchi bhana
.

Jiwe anaondoa Daktari kwenye wizara ya Afya anamuacha yule layman binti wa kitanga

aliemteua pia ni MD toka Muhimbili japo sijajua atakuwa mlamba miguu au proffesional itafanya kazi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukweli unauma hasa ukisemwana mtu mdogo
 
Naona timu ya taifa ikifanya mabadiliko hapa. Anatoka jezi nambari 5 anaingia nambari 11.
Kwako mwalimu kashasha...............................
 
Ukweli kumuelewa Ngisha unatakiwa uwe na akili za ziada sijui kipi kinamfanya awe anafanya maamuzi ya kuwatoa wenye mtazamo tofauti na yeye. Ila huyu naomba sana aanzishe chokochoko ya kutaka kubadilisha katiba ili aendelee ndio atawajua wote aliowakanyaga vidole vya mguuni wana rangi gani. Na 2023 kuna watu wataanza kumbishia live bila chenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"ndo mana huyo naibu waziri aliyeondolewa kwenye wizara ya afya ulikuwa ukimsikiliza unaona kabisa kuwa jamaa anajua na kuna vitu vinavyohusu afya akitolea ufafanuzi mtu unaelewa kabisa"

Mkuu unamaanisha aliyewekwa hajui na akitolea ufafanuzi wa vitu vinavyohusu afya hutaelewa kabisa????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pathetic! Kila Mtanzania anajua kwa nini Dkt. Ndugulile ametenguliwa, kama huna cha kusifia ungelala tu, labda asubuhi ungepata dili lingine!
 
Ngoja niusikilize wimbo wa Prof J
 
Kazi tunayo wadanganyika, hongera Mh Ndungulile kwa kuilinda taaluma yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa ya ikulu imesema sababu ya kumtoa ndiyo mnayoizungumza watu wengi humu? Mtaelewa na kujifunza lini mbona mna vichwa vigumu mnatengeneza sababu wenyewe na kuanza kuzijadili wenyewe huku mkiwa hamna uhakika kumbukeni Rais anavyombo vya ushauri kulingana utendaji kazi wa mamlaka zilizochini yake.Tusubiri muda utasema na tutajua sababu iliyomfanya Mh Ndungulile atumbuliwe.Kila siku mmekuwa mkizusha maneno ya uongo kuhusu Mambo mbalimbali baada ya muda ukweli ukijulikana mnakaa kimya Kama mmepigwa na nyindo midomoni mwenu.Mfano mliongea sana kifo Cha Mh Mahiga baada ya muda na ukweli kujulikana mkaufyata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napendekeza Mh Mkuu wa mkoa wa DSM, Mh Sana MAKONDA, muda ukifika achukue form agombee Jimbo la Kgamboni Mwezi Oct 2020.Kigamboni tunahitaji mbunge mwenye speed na kiwango.Paul MAKONDA Katibu Sana Kgamboni Mkuu.Tutakupa kila Sina ya suport.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kiasi ambacho watu wamefukuzwa kazi Ilibidi tuone mabadiliko ila hali nazani ipo vile vile
Nazani labda Kwa sababu anayetakiwa kufuzwa bado yupo ofisini yani IKULU


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Achana na Elimu za kukariri hizo haziwezi kutufikisha popote jadili hoja iliyopo jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…