Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Kukosoa UPUUZI wa kupiga Nyungu ndiyo kumemponza Dkt Ndugulile, hii nchi bhana
.

Jiwe anaondoa Daktari kwenye wizara ya Afya anamuacha yule layman binti wa kitanga
Barakoa ya hiliki mcheeeeezo?
 
Tunasubiri VIJEMBE, MIPASHO, MANENO YA SHOMBO, siku ya kuapishwa...

Sambamba na hayo, atapokea ripoti ya VIPIMIO VYA VIPIMO vya kina Elizabeth Ann & Co..ili awasute MABEBERU na vibaraka wao..

Everyday is Saturday........................ 😎
 
Angetangaza kujiuzulu mwenyewe ingependeza sana,ila hongera ndugu ndugulile kusimamia taaluma yako.

Soon CDC watamnyakua.
 
hapo kwa anuani ya Msigwa inayosomeka Chato' hapo ndipo panaponitia tafakuri
na kumkumbuka historia Marques Nguema
duh nimemisi sana my home boy wangu
mdude
 

Anatoa kichwa anaweka kichaa mollel

This speak volumes how mawe ni serious tatizo aisee
 
Kwa kiwaambia watu wajifukize Magufuli alisababisha vifo vingi ikiwemo vya watu wake wa karibu sana. Swala la kujifukiza kwa mtu mwenye Corona ilikuwa ni kosa kubwa sana na liligharimu wengi.

Nashukuru mimi ni moja ya watu ambao katu sitokuja kumuamini Magufuli hivyo kauli zake au ushauri wake hautokaa uniathiri maana sitokuja kuufuata, never!
 
 
Hongera kwa huyo Morreri ariye lamba kitengo katika hiyo Wizara ya Serikali ya Jamuhuri!! Pole kwa muheshimiwa Ndungulile Mungu atamlipia kwa kuongea kwa weledi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote tuombe, Taifa limekwama mahali
Baraza la mawaziri kinavunjwa lini?

Yaani atakaa ofisini kwa wiki mbili tu?

Huo uteuzi una faida gani kwa mlala hoi? Au lengo ni kutaka Mollel apate kiinua mgongo cha Uwaziri?
 
Ndugulile hana utalaam wowote ndio maana alipewa unaibu na ndo maana katenguliwa afanyi kazi iliyo mpeleka kaz kupiga majungu kuhusu maamuzi ya Magu king of Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…