snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Barakoa ya hiliki mcheeeeezo?Kukosoa UPUUZI wa kupiga Nyungu ndiyo kumemponza Dkt Ndugulile, hii nchi bhana
.
Jiwe anaondoa Daktari kwenye wizara ya Afya anamuacha yule layman binti wa kitanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barakoa ya hiliki mcheeeeezo?Kukosoa UPUUZI wa kupiga Nyungu ndiyo kumemponza Dkt Ndugulile, hii nchi bhana
.
Jiwe anaondoa Daktari kwenye wizara ya Afya anamuacha yule layman binti wa kitanga
Sasa anasemaje kitu ambacho hana uhakika nacho yani anahisi tu?Wewe ndio wa ajabu kweli kweli unategemea kiongozi akipigwa yai viza utaona picha yake? Kalaga baho
Pole za ubongo wako kusoma hujui hata picha huoni?
DKT FAUSTINE NDUGULILE ATENGULIWA
View attachment 1452133
Rais John Pombe Magufuli amemtengua Dr Faustine Ndugulile Naibu Waziri Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na Mbunge wa Kigamboni.
Nafasi hiyo imechukuliwa na Dkt Godwin Mollel, Mbunge wa Siha, aliyeteuliwa Mei 16 kushika nafasi ya Dkt Ndugulile
Uteuzi wa Dkt Mollel unaanza Mei 16, 2020
Faustine aliteuliwa 07 Oktoba 2017 akichukua nafasi ya Khamis Kigwangala aliyeenda kuwa Waziri wa Utalii
Tarehe 14 Des 2017, Mbunge wa Jimbo la Siha, Dk. Godwin Mollel alihama chama cha CHADEMA na kujiunga CCM.
Zaidi, soma
1). Tumwamini nani kati ya Rais Magufuli au Daktari Ndugulile kuhusu kujifukiza ili kukabiliana na COVID-19? - JamiiForums
2). Hongera Dkt. Faustine Ndugulile, Naibu Waziri wa Afya - JamiiForums
View attachment 1452235
Maoni ya Ndugulile kuhusiana na ugonjwa wa Corona:
Mchango wa Mollel bungeni:
Kwa kiwaambia watu wajifukize Magufuli alisababisha vifo vingi ikiwemo vya watu wake wa karibu sana. Swala la kujifukiza kwa mtu mwenye Corona ilikuwa ni kosa kubwa sana na liligharimu wengi.Aliyethibitisha hiyo miti ina impact ya ku compromise viral activity ni nani na kama inafanya kazi iwe extracted zipatikane vaccine....na hili swala la nyungu walitakiwa watumie watu gani yani mtu tayari ni victim ana dyspnoea afu ajifukize wakati tayari ana respiratory depression....medicine ni ngumu sana ila basi tuheshimu tu maamuzi ya mzee wetu.. Nimefikiria kwa sauti kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuwa na undugu na jiwe, chunguza akili yakoMimi nimeumwa Corona na sikwenda hospitalini, nimetumia njia za asili na nimepona.
Hata nikafungua uzi humu kutoa ushuhuda wangu.
Sayansi sio jawabu la kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazidi kuamini humu Kuna mburula wengiKazi tunayo wadanganyika, hongera Mh Ndungulile kwa kuilinda taaluma yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unarudi kulekule kwenye "Muungano ni kama koti...."Kama EAC munaiua na sisi tupeni ubavu wetu muungano c mchezo bana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mchezo umefika patamu,, labda JK aamue kuiokoa hii jumuiya na sidhani kama ataweza kweliKuna watu watapewa makavu live! Nahisi wanafanyiwa zoezi. Kudaadek! Lini anaapishwa?
DKT FAUSTINE NDUGULILE ATENGULIWA
View attachment 1452133
Rais John Pombe Magufuli amemtengua Dr Faustine Ndugulile Naibu Waziri Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na Mbunge wa Kigamboni.
Nafasi hiyo imechukuliwa na Dkt Godwin Mollel, Mbunge wa Siha, aliyeteuliwa Mei 16 kushika nafasi ya Dkt Ndugulile
Uteuzi wa Dkt Mollel unaanza Mei 16, 2020
Faustine aliteuliwa 07 Oktoba 2017 akichukua nafasi ya Khamis Kigwangala aliyeenda kuwa Waziri wa Utalii
Tarehe 14 Des 2017, Mbunge wa Jimbo la Siha, Dk. Godwin Mollel alihama chama cha CHADEMA na kujiunga CCM.
Zaidi, soma
1). Tumwamini nani kati ya Rais Magufuli au Daktari Ndugulile kuhusu kujifukiza ili kukabiliana na COVID-19? - JamiiForums
2). Hongera Dkt. Faustine Ndugulile, Naibu Waziri wa Afya - JamiiForums
View attachment 1452235
Maoni ya Ndugulile kuhusiana na ugonjwa wa Corona:
Mchango wa Mollel bungeni:
[/QUOTE.
.
Baraza la mawaziri kinavunjwa lini?Wote tuombe, Taifa limekwama mahali
Atakuwa alikuwa hakubaliani na tabia ya mkulu katika uendeshaji wa vita dhidi ya corona, si unajua Faust ni mtaalam? Atakuwa hakutaka mambo ya bra bra na huyu mzeee yeye anataka ufanye kile anachokitaka hata Kama sio kizuri
Sent using Jamii Forums mobile app