Ana stahili pongez Kwang ndy wazir boraSanaaa.kapambana kweli na hili janga pamoja na urembo,na uanamke wake wote ule kaonesha ujemedari.Ila nampenda sn.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1452424
Kigogo mwenyeji wa twita naye hakuwa nyuma.
@Dr.Faustine Ndungulile atakumbukwa kwa tahadhari zake za kitaalamu juu ya barakoa za vitambaa na kupiga vyungu
Unayenyekea kufukuzwa, ni uzwazwa wa njaa ya kwenda chooni kunya! Unafurahia nni kufukuzwa? Au unategea kurudi kama Mwigulu?View attachment 1452424
Kigogo mwenyeji wa twita naye hakuwa nyuma.
@Dr.Faustine Ndungulile atakumbukwa kwa tahadhari zake za kitaalamu juu ya barakoa za vitambaa na kupiga vyungu
Kitafte online mkuu. Andika 48 rules of power unakipata. Ni kitabu maarufu sana.
Nouma SanaJiwe limejifungia Chattle karibia miezi 2 sasa. Jiwe halitaki kupingwa, jiwe linapanga na kupangua, jiwe ni jiwe tu.
Wewe utakua mganga Wa kienyeji sio bure , ishauri serekali ifunge hospitali zote ili tutumie hizi tiba asili ambazo hazitoki westNi kweli labda alitaka sayansi...lakin tutaenda hivi Hadi Lin kuwa watumwa wa sayansi ya west had lini......HUU N UPUMBAVU....Kama kweli ye alitaka sayansi ndo ulikua muda wa wakuhimiza tafiti za ndani ,kufanyia tafiti hizo nyungu...au kuleta dawa inayotokana na miti ya kujfukiza zenye vipmo kitaalamu.......
Huwez kusave nchi kwa akili za kitumwa....nafikir China nao wangekua hivi....bas leo hi wangekua Kama sisi.....They have gone their own way ndo maana wapo hapo leo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kili chokuponyesha ni sanyansi isipokuwa hujui ni sayansi IPI? Au uliomba mizimu yenu?Mimi nimeumwa Corona na sikwenda hospitalini, nimetumia njia za asili na nimepona.
Hata nikafungua uzi humu kutoa ushuhuda wangu.
Sayansi sio jawabu la kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais John Pombe Magufuli amemtengua Dkt Faustine Ndugulile, aliyekuwa Naibu Waziri Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto...
Hivi awamu hii MTU anaweza jiuzulu akatangaza hadharani labda hapendi kuishi,Acha upuuzi, kamati ishamaliza kazi yake kitambo na tiari ishawasilisha ripoti na haya muyaonayo leo ndio utekelezwaji wa mapendekezo, alipojiuzulu kwa nini hukutangaza humu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndungulile alitaka sayansi itawale na sio ujinga wa nyungu sijui kujifukiza ambako hakuna ushahidi wa kisayansi kama kunatibu ugonjwa. Hii iko kinyume na matakwa ya boss anaetaka ujinga ndio utumike kama tiba ya corona...
Nimempongeza ndugulile kwa kupokea maamuzi kwa unyenyekevu mkubwa.sio ule ujinga Wa wabunge Wa chadema unaanza kulalama kisa kupokonywa nafasi.unapaswa kushukuru kwa kila jamboView attachment 1452424
Kigogo mwenyeji wa twita naye hakuwa nyuma.
@Dr.Faustine Ndungulile atakumbukwa kwa tahadhari zake za kitaalamu juu ya barakoa za vitambaa na kupiga vyungu
Inawezekana kweli nyungu peke yake hazitibu COVID 19 lakini kama kiongozi mtaalam wa afya alitakiwa kutoa majibu yanayotoa suluhu...Dr.Ndugulile ni shujaa.
..kiapo chake cha Udaktari kinamtaka asipotoshe wagonjwa...
Mama d,Dr faustine alikua sahihi sana huwezi kutumia mvuke yaani vapour kwa victim ambaye tyar ana ugonjwa justification apa ni rahisi kwamba ugonjwa unaathiri mfumo wa upumuaji na moja kati ya dalili ya ugonjwa huu ni dyspnea shida ya upumuaji which with severity inaweza kuhitaji supplemental oxygen...