Anaapishwa lini, naona ni nafasi ya kumjibu R.Odinga, Kagame et al ilikuwa inatafutwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kilichowatoa lockdown nini viswaswadu nyie kwani mmesikia huku corona imeisha manyumbu wa heri nyie.Wazee wa Covidol na nyungu bakini na uganga wenu
Mimi nawasiwasi hakutaka kufunika kombe mwanaharamu apite kwenye uchunguzi wa kamati kwa namna moja au nyingine.
Chapa kazi, Magufuli yupo na wewe anachapa kazi ndani ya ikulu siku ya 56 leo.Sasa kilichowatoa lockdown nini viswaswadu nyie kwani mmesikia huku corona imeisha manyumbu wa heri nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mtakoma mlimzoea JK mzee wa kubembelezaManeno ya huyu baba yanavoniumiza Roho
Nasubiri hiyo kesho atakavoturushia makombora
Mimi nimeumwa Corona na sikwenda hospitalini, nimetumia njia za asili na nimepona.Ndungulile alitaka sayansi itawale na sio ujinga wa nyungu sijui kujifukiza ambako hakuna ushahidi wa kisayansi kama kunatibu ugonjwa. Hii iko kinyume na matakwa ya boss anaetaka ujinga ndio utumike kama tiba ya corona.
Ndungulile hakupigia debe matakwa ya bosi wake ya kutumia tiba za kienyeji.
Kesho tutarajie tena maneno ya ajabu wakati wa kiapo.
Hata alivyokuwa anaongea unaona kabisa hakubaliani na namna jinsi Magufuli anavyofanya. Kesho BAKWATA mtapewa za uso najua jumatatu mnatengua kauli ya kuzuia ibada ya eid!Vipi huyu Dr. Faustine Ndungulile alijaribu kutoa ushauri wa kisayansi unaohusu medicine na public health kitu ambacho hakitakiwi kwa wanaoamini kujifukiza na nguvu za kiimani.
Kajiuzulu ?Mbona barua inasema katenguliwa ?Magufuli bwana naona ana masihara sana. Ile kamati ya Ummy kumbe Prof. Lyamuya alijiuzulu uenyekiti na akajiondoa kamatini. Serikali hii ni ya ajabu sana sana.
Ndugulile amejiuzulu asitudanganye hapa!