feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tiba ya kisayansi ni ipi?Ndungulile alitaka sayansi itawale na sio ujinga wa nyungu sijui kujifukiza ambako hakuna ushahidi wa kisayansi kama kunatibu ugonjwa. Hii iko kinyume na matakwa ya boss anaetaka ujinga ndio utumike kama tiba ya corona.
Ndungulile hakupigia debe matakwa ya bosi wake ya kutumia tiba za kienyeji.
CV ya waziri iliyo mezani kwa mkuu itakua clean sana. Haiwezekani anusurike vinginevyo...Only kwa Magufuli wizara inakuwa dhaifu kisha wanaondoka katibu mkuu, naibu waziri huku waziri akiachwa.
Uteuzi huu ndo umenifungua macho kwamba huyu jamaa anatupeleka chaka
Sawa...toa press yako kuwa ndugulile amejiuzuluMagufuli bwana naona ana masihara sana. Ile kamati ya Ummy kumbe Prof. Lyamuya alijiuzulu uenyekiti na akajiondoa kamatini. Serikali hii ni ya ajabu sana sana.
Ndugulile amejiuzulu asitudanganye hapa!
Akaajiliwe WHO ,hatumtakiUkiwa na Rais "layman" kwenye masuala nyeti harafu mbishi, mjeuri na mwenye ego kubwa kuliko kichwa chake, ni tatizo.
Dr. Ndungulile alipinga huo ujinga wa kupropagate the so called nyungu bila facts (miti ipi, kiasi gani, ujifukize dakika ngapi etc). Pia alipinga mambo ya barakoa za kushona. Kiufupi alikuwa anampa shule Jiwe na kwa Jiwe hilo ni kosa kubwa
Aisee yatavurumishwa makombora kesho hadi naona aibu.Anaapishwa lini, naona ni nafasi ya kumjibu R.Odinga, Kagame et al ilikuwa inatafutwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaficha madudu yao!Prof Lyamuya alijitoa ndiyo lakini hawataki kusema wanaficha
Wazee wa Covidol na nyungu bakini na uganga wenu
Weka hadharani barua yake ya kujiuzulu tuioneHakutetea nyungu wala covidol..Ila uhakika ni kuwa Ndugulile amejiuzulu. Ameamua kuachana na ubabaishaji.