Naibu Waziri wa Afya: Nikiona PDF ya Zuhura haipo kwenye Instagram ya Ikulu nakuwa na 'confidence'. Mh. Rais nakushukuru sana kwa mimi kunusurika!

Naibu Waziri wa Afya: Nikiona PDF ya Zuhura haipo kwenye Instagram ya Ikulu nakuwa na 'confidence'. Mh. Rais nakushukuru sana kwa mimi kunusurika!

Screenshot_20230915-175923_Chrome.jpg
ukimuangalia vizuri unaona kabisa kichwani hazijatimia
 
Mara nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva.

Lakini siku hiyo nikajisahu, nikawa nimeacha Instagram emoj ipo juu, nikaona kama kitu kimepita pale nikaogopa kuangalia nikawa naangalia simu nyingine kuangalia nini kinaendelea. Nikaona mtu ameniambia hongera mdogo wangu nikajua Mkuu nimenusurika.

Mh. Rais nakushukuru sana, nikathubutu kusoma ile kitu. Mh. Rais Nakushukuru sana kwa mimi kunusurika"

Alisema Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel, alipopewa nafasi ya kutoa neno katika hafla ya ufunguzi wa barabara ya Mtwara leo Sptemba 15 2023.
Haya majitu sijui mwendazake alitumia kigezo gani kumpa kazi ya u Naibu Waziri huyu kiazi. Naye Samia kaendelea naye
 
Mara nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva.

Lakini siku hiyo nikajisahu, nikawa nimeacha Instagram emoj ipo juu, nikaona kama kitu kimepita pale nikaogopa kuangalia nikawa naangalia simu nyingine kuangalia nini kinaendelea. Nikaona mtu ameniambia hongera mdogo wangu nikajua Mkuu nimenusurika.

Mh. Rais nakushukuru sana, nikathubutu kusoma ile kitu. Mh. Rais Nakushukuru sana kwa mimi kunusurika"

Alisema Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel, alipopewa nafasi ya kutoa neno katika hafla ya ufunguzi wa barabara ya Mtwara leo Sptemba 15 2023.
Hivi imefika hatua kule ccm watu hawawezi kuishi bila teuzi??
 
Mollel anaweza kuwa mjinga lakini si chizi. Serikali ya CCM ni kwa ajili ya Rais na genge lake. Na maslahi muhimu yako kwenye teuzi zinazofanywa na Rais. Nje ya hapo ni ubangaizaji tu.

Hakuna vigezo dhahiri vya utendaji serikalini. Umahiri wa mteule au mtendaji ni uwezo au kipaji chake cha kujua wakati wote Rais anataka nini. Waingereza wanasema “to second-guess the boss”. Wateule wote ni watu wa maslahi. Kutegemea watakuwa “malaika” wajitoe mhanga; wasijali maslahi binafsi ni kujidanganya. Ni kuwa idealistic au naïve au hypocrites.

Nape alipomuundia Makonda kamati ya uchunguzi, hakukosea, lakini alizipata consequences. Alirudi kupiga magoti. Kwa wakati muafaka kina mollel walijifukiza na kupinga chanjo ya Covid 19. Kwa wakati muafaka walibomoa mabanda ya kujifukiza na kuagiza chanjo. That’s realpolitik.

Ndipo nchi ilipofikia. Aibu au soni si kitu. Kina Mollel hawana uhakika kama wanapatia au wanakosea anachotaka Rais. Na si lazima iwe ni suala la utendaji. Magufuli aliweka wazi kuwa ni yeye na Samia tu ndio wenye ridhaa ya wananchi. Wengine wote serikalini wako kwa uamuzi wake; anaweza kuwapangua au kuwatumbua kivyovyote yeye anavyoona inafaa.

Mollel kufikia hapo toka CHADEMA alijilipua sana. Anaweza kuwa mjinga lakini si mwehu. Anaijua realpolitik ya nchi hii. Kama hatukushangaa vituko vyake huko nyuma, basi hana kipya cha kushangaza leo hii. Angalau tuishie kumweka kwenye ignore list maisha yaendelee.
 
Mkuu ina maana huwa unawa-rate high sana mawaziri wetu nini? Nakuhakikishia wote ni wale wale, hakuna mwenye nafuu. Huyo jamaa Molel ni hovyo kuliko hovyo yenyewe. Hapa inaonyesha kuwa hawajui kuwa cheo ni dhamana au uwaziri maana yake ni kuwajibika. Wao wanadhani uwaziri ni upendeleo wa kula bata waliopewa na rais. Na rais akisikia hilo anafurahi kweli kwa kulinganishwa na Mungu mgawa riziki.
Kwa raisi makini baada ya hii kauli angemfukuza huyu mpuuzi. Lakini kwa huyu maza sizani
 
nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva.

Lakini siku hiyo nikajisahu, nikawa nimeacha Instagram emoj ipo juu, nikaona kama kitu kimepita pale nikaogopa kuangalia nikawa naangalia simu nyingine kuangalia nini kinaendelea. Nikaona mtu ameniambia hongera mdogo wangu nikajua Mkuu nimenusurika.

Mh. Rais nakushukuru sana, nikathubutu kusoma ile kitu. Mh. Rais Nakushukuru sana kwa mimi kunusurika"

Alisema Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel, alipopewa nafasi ya kutoa neno katika hafla ya ufunguzi wa barabara ya Mtwara leo Sptemba 15 2023.
Hivi tumejiridhisha kweli;hatuongozwi na Mawaziri wenye upeo mdogo na shida ya ugonjwa wa akili!!!
 
Back
Top Bottom