Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kuna mtu alishasema Magufuli ni Mungu.Bado kumsujudia tuu
Kwa anayoyafanya jiwe wimbo unaofaa ni wa kumkosoa na kumzodoa.watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya
Siyo vibaya ukitekeleza Hilo ambalo unaona anastahili na bado hajafanyiwa. Ruksa kamsujudie.Bado kumsujudia tuu
Huyu jamaa ana 4 years to go, kwanini wanamwogopa hivi? Wanajua nini ambacho hatujui? Mbona Mkapa na Kikwete hatukuona haya mambo?Kuna mtu alishasema Magufuli ni Mungu.
Wapi waziri au mleta mada kasema kumtukuza Magufuli?Enyi viumbe wa dunia hii msifuni na kumtukuza Mola peke yake,kumtukuza binadamu ni makufuru kwa Mola wetu.
Usijifanye wewe hapa duniani humtgemei binadamu, yaani uko kivyako Kama nyumbu.Alaaniwe amtegemeaye mwanadamu
Bado sana anamiaka kama kumi kwa uchache.Huyu jamaa ana 4 years to go, kwanini wanamwogopa hivi? Wanajua nini ambacho hatujui? Mbona Mkapa na Kikwete hatukuona haya mambo?