Nuraty J
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,729
- 3,831
KweliMungu yupo mmoja tuu na sote tunamwomba yeye, rais John Pombe Magufuli hajawahi kujipa nafasi ya Mungu wala chama chake hakijawahi mpa nafasi hiyo. Maneno ya mtu mmoja sio tamko la taasisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KweliMungu yupo mmoja tuu na sote tunamwomba yeye, rais John Pombe Magufuli hajawahi kujipa nafasi ya Mungu wala chama chake hakijawahi mpa nafasi hiyo. Maneno ya mtu mmoja sio tamko la taasisi.
Halafu akapigwa chini kwenye kura za maoniKuna mtu alishasema Magufuli ni Mungu.
Mungu yupo mmoja tuu na sote tunamwomba yeye, rais John Pombe Magufuli hajawahi kujipa nafasi ya Mungu wala chama chake hakijawahi mpa nafasi hiyo. Maneno ya mtu mmoja sio tamko la taasisi.
Kuna shobo nyingine nafikiri hata Magufuli mwenyewe hazipendi.
Naibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa gharama za serikali.
Ameyasema hayo alipokuwa anapokea tuzo ya juu ya Kiswahili ya Shaaban Robert ambayo ametunukiwa Rais Magufu
1.Baba jiwe baba jiwe. Tungo njema utungiwe. Ukipendacho na kiwe Ni nano akusumbuwe. 2.Ulijiita kichaa sote tukakushangaa. Na wala hujakataa kwa kuitwa Buldozaa. 3.Wamekutunukia Tuzo Kwa lugha yenye mzozo Matamshi kwako tatizo Si wanakufanya kibonzo. 4.Sifa zote ziwe zako Tena zako peke yako. Hakuna zaidi yako Site tuko nyuma yako. Huyu bwana is every thing. Nikipata teuzi msinioneee gereeee nimetii tamko la N waziri
HatariiMara Paaaap!
Uzi umefukuliwa..
🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️