Naibu Waziri wa Habari aagiza washindi wa Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Magufuli kwa gharama za Serikali

Naibu Waziri wa Habari aagiza washindi wa Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Magufuli kwa gharama za Serikali

Ningekuwa JPM ningekemea kimyakimya ujinga huu wa baadhi ya viongozi kuwageuza wananchi mazezeta ya kusifusifu na kupongeza ovyo ovyo kwa maslahi yao binafsi.

Rais JPM huko ulipo Nakuomba kemea tabia hii ya Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Viongozi wa dini ya kutumia wananchi kwa maslahi yao. Wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Watanzania wengi wanatambua utendaji wako ktk nchi, lakini hakuna sababu ya hii brainwashing!

Rais Magufuli tafadhali andaa Taifa la wenye akili na uwezo wa kufikiri badala ya Taifa la watu wanaosifusifu wengine. Kila moja wetu atimize wajibu wake ktk nchi hii siyo kusifusifu.
Akemee wakati yeye ndo kawatuma kufanya hivyo?
 
Naibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa gharama za serikali

Ameyasema hayo alipokuwa anapokea tuzo ya juu ya Kiswahili ya Shaaban Robert ambayo ametunukiwa Rais Magufuli
Hahah.
Ndio maana Magufuli amesema kuwa kashakuwa sugu wa kusifiwa
 
Wapi waziri au mleta mada kasema kumtukuza Magufuli?
Kasema kumsifu na kusifiwa binadamu akifanya vizuri ni kawaida hajasaema kumtukuza kuwa mwelewa usilete geuzageuza yenu ya maneno.
Waacheni watu wasifu wenyewe wanapoona panafaa kusifu.

Hizi sifa za kuamrishwa na Waziri zinamshusha hadhi anayesifiwa. Inaonekana kuwa hata sifa zenyewe za kulazimishwa na Waziri.
 
Naibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa gharama za serikali

Ameyasema hayo alipokuwa anapokea tuzo ya juu ya Kiswahili ya Shaaban Robert ambayo ametunukiwa Rais Magufuli
Mungu wangu
 
Magufuli anatamani hata makanisani waache kusema "Bwana Yesu asifiwe" Bali waanze kusema "Bwana Magufuli Atukuzwe"!
Kwani yule brother wa Korea kaskazini alianzaje hadi kufikia tabia alizonazo?
 
lol,mungu wa ccm labda
Mungu yupo mmoja tuu na sote tunamwomba yeye, rais John Pombe Magufuli hajawahi kujipa nafasi ya Mungu wala chama chake hakijawahi mpa nafasi hiyo. Maneno ya mtu mmoja sio tamko la taasisi.
 
Naibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa gharama za serikali.

Ameyasema hayo alipokuwa anapokea tuzo ya juu ya Kiswahili ya Shaaban Robert ambayo ametunukiwa Rais Magufuli.
[emoji849][emoji849][emoji849] kwa sauti ya Mama Samia. Mwimbo huo Kwiyo!
 
Naibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa gharama za serikali.

Ameyasema hayo alipokuwa anapokea tuzo ya juu ya Kiswahili ya Shaaban Robert ambayo ametunukiwa Rais Magufuli.
Hivi hawa mawaziri ni wahitimu wa vyuo gani aunninwabunge wa kujua kusoma na kuandika tu. Hawajui kuwa sanaa ni hisia ya msanii huwezi kulazimisha msanij kuwa na hisia yako.
 
Usijifanye wewe hapa duniani humtgemei binadamu, yaani uko kivyako Kama nyumbu.

Biblia imesema alaaniwe amtegemeaye mwanadamu HUKU AMEMSAHAU MUNGU.

Usikatishe vifungu vya biblia ili upate maana ya kishetani utalaaniwa.
Wewe ndio jiwe mwenyewe nini mjitu myeusi ni Laana Hakika

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Cement elfu 16,000 Ile ya plus
Bati bando moja Ni 310,000
Misumali ya bati kilo 25 Ni 88,000
Misumali ya kawaida Ni 115,000. n.k
hawa mawaziri wapo kusifu tu na kuabudu.mfumuko wa Bei kwao sio ISHU.
inasikitisha sanaa.
 
Back
Top Bottom