Siyo vibaya ukitekeleza Hilo ambalo unaona anastahili na bado hajafanyiwa. Ruksa kamsujudie.
Akemee wakati yeye ndo kawatuma kufanya hivyo?Ningekuwa JPM ningekemea kimyakimya ujinga huu wa baadhi ya viongozi kuwageuza wananchi mazezeta ya kusifusifu na kupongeza ovyo ovyo kwa maslahi yao binafsi.
Rais JPM huko ulipo Nakuomba kemea tabia hii ya Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Viongozi wa dini ya kutumia wananchi kwa maslahi yao. Wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Watanzania wengi wanatambua utendaji wako ktk nchi, lakini hakuna sababu ya hii brainwashing!
Rais Magufuli tafadhali andaa Taifa la wenye akili na uwezo wa kufikiri badala ya Taifa la watu wanaosifusifu wengine. Kila moja wetu atimize wajibu wake ktk nchi hii siyo kusifusifu.
Hahah.Naibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa gharama za serikali
Ameyasema hayo alipokuwa anapokea tuzo ya juu ya Kiswahili ya Shaaban Robert ambayo ametunukiwa Rais Magufuli
Waacheni watu wasifu wenyewe wanapoona panafaa kusifu.Wapi waziri au mleta mada kasema kumtukuza Magufuli?
Kasema kumsifu na kusifiwa binadamu akifanya vizuri ni kawaida hajasaema kumtukuza kuwa mwelewa usilete geuzageuza yenu ya maneno.
Mungu wanguNaibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa gharama za serikali
Ameyasema hayo alipokuwa anapokea tuzo ya juu ya Kiswahili ya Shaaban Robert ambayo ametunukiwa Rais Magufuli
Unaweza kuona natania, yani sio "chaguo la mungu", jamaa alisema Magufuli ni Mungu wa Tanzania.makubwaa
DuhUnaweza kuona natania, yani sio "chaguo la mungu", jamaa alisema Magufuli ni Mungu wa Tanzania.
Watu na Imani zao😂😂😂😂😂
lol,mungu wa ccm labdaUnaweza kuona natania, yani sio "chaguo la mungu", jamaa alisema Magufuli ni Mungu wa Tanzania.
Mungu yupo mmoja tuu na sote tunamwomba yeye, rais John Pombe Magufuli hajawahi kujipa nafasi ya Mungu wala chama chake hakijawahi mpa nafasi hiyo. Maneno ya mtu mmoja sio tamko la taasisi.lol,mungu wa ccm labda
[emoji849][emoji849][emoji849] kwa sauti ya Mama Samia. Mwimbo huo Kwiyo!Naibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa gharama za serikali.
Ameyasema hayo alipokuwa anapokea tuzo ya juu ya Kiswahili ya Shaaban Robert ambayo ametunukiwa Rais Magufuli.
Hivi hawa mawaziri ni wahitimu wa vyuo gani aunninwabunge wa kujua kusoma na kuandika tu. Hawajui kuwa sanaa ni hisia ya msanii huwezi kulazimisha msanij kuwa na hisia yako.Naibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa gharama za serikali.
Ameyasema hayo alipokuwa anapokea tuzo ya juu ya Kiswahili ya Shaaban Robert ambayo ametunukiwa Rais Magufuli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii Nchi ,Mitano tena[emoji870]
Wewe ndio jiwe mwenyewe nini mjitu myeusi ni Laana HakikaUsijifanye wewe hapa duniani humtgemei binadamu, yaani uko kivyako Kama nyumbu.
Biblia imesema alaaniwe amtegemeaye mwanadamu HUKU AMEMSAHAU MUNGU.
Usikatishe vifungu vya biblia ili upate maana ya kishetani utalaaniwa.
Cement elfu 16,000 Ile ya plus
Bati bando moja Ni 310,000
Misumali ya bati kilo 25 Ni 88,000
Misumali ya kawaida Ni 115,000. n.k
hawa mawaziri wapo kusifu tu na kuabudu.mfumuko wa Bei kwao sio ISHU.
inasikitisha sanaa.