Naibu Waziri wa Habari aagiza washindi wa Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Magufuli kwa gharama za Serikali

Mungu yupo mmoja tuu na sote tunamwomba yeye, rais John Pombe Magufuli hajawahi kujipa nafasi ya Mungu wala chama chake hakijawahi mpa nafasi hiyo. Maneno ya mtu mmoja sio tamko la taasisi.
Kweli
 
Mungu yupo mmoja tuu na sote tunamwomba yeye, rais John Pombe Magufuli hajawahi kujipa nafasi ya Mungu wala chama chake hakijawahi mpa nafasi hiyo. Maneno ya mtu mmoja sio tamko la taasisi.

Maneno ya MTU mmoja sio tamko la taasisi. Ni kweli, lakini kama yametoka kwa mmoja wa viongozi na taasisi haijapinga wala kukemea basi inaunga mkono
 
Yaani ukisema, watanzania hawawezi ku-stoop any more low, wanaku-prove wrong...
 

Kazi kwenu sasa mtunge
Uwanja mmepewa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
1.Baba jiwe baba jiwe. Tungo njema utungiwe. Ukipendacho na kiwe Ni nano akusumbuwe. 2.Ulijiita kichaa sote tukakushangaa. Na wala hujakataa kwa kuitwa Buldozaa. 3.Wamekutunukia Tuzo Kwa lugha yenye mzozo Matamshi kwako tatizo Si wanakufanya kibonzo. 4.Sifa zote ziwe zako Tena zako peke yako. Hakuna zaidi yako Site tuko nyuma yako. Huyu bwana is every thing. Nikipata teuzi msinioneee gereeee nimetii tamko la N waziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…