mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Mbunge wa kuteuliwa na Rais na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amemuandikia Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson barua ya kujiuzulu Ubunge leo Jumapili tarehe 21 Julai, 2024.
View attachment 3048086
Yuko sawa unajiuzuru kwa Spika hata km ni mbuge wa kuteuliwa. Ni mhimili unaojitegemea na ndiko aliko. ila automatically na un naibu waziri unakoma.Mbunge kateuliwa na Rais, inakuaje aombe kujiuzulu kwa Spika, pamoja na kwamba Spika ni bosi wa wabunge (mwenye kuelewa katiba hii imekaaje?)
Nape akiandika atakufa njaaNape yeye anaandika lini?
Hata wabunge wa kuchaguliwa na wananchi huandika barua Kwa Spika.Mbunge kateuliwa na Rais, inakuaje aombe kujiuzulu kwa Spika, pamoja na kwamba Spika ni bosi wa wabunge (mwenye kuelewa katiba hii imekaaje?)
Duh kwa hiyo Mbarouk ni MP wa Bumbuli?Itafahamika hizo changamoto nahisi ni wananchi wa bumbuli hawamtaki mbunge!