Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Huyo hata akikaribia kulata roho hawezi.Nape yeye anaandika lini?
Nape anaupenda sana Uwaziri, ndo uliofanya akaenda magogoni Kumpigia magoti Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo hata akikaribia kulata roho hawezi.Nape yeye anaandika lini?
Nina hakika anaenda kuteuliwa nafasi kubwa..na hyo nafasi ya ubunge anaweza kupewa makonda ama msigwa halafu akateuliwa uwaziri..stay tune.Hapa kuna jambo na si bure. Huu utamaduni hatuna hata tuwe na changamoto za aina gani.
Who cares?I wouldn't want to be associated with this government either
Spika ndiye kiongozi wa bungeMbunge kateuliwa na Rais, inakuaje aombe kujiuzulu kwa Spika, pamoja na kwamba Spika ni bosi wa wabunge (mwenye kuelewa katiba hii imekaaje?)
Swali zuriNape yeye anaandika lini?
Siyo issue ya Maadili mkuu.. point iko hapo wazi kabisa..kuna Reshuffle ya Cabinet..huyo kapewa maelekezo ajiudhuru,ili ateuliwe mtu mwingine awe mbunge na anaweza kuwa ni aidha Makonda ama Msigwa na akalamba uwaziri ama unaibu uwaziri.. na huyo aliye jiuzuru akateuliwa nafasi nyingine serikalini.I smell Cabinet reshuffle
Ila hongera zake. Wazanzibari kwenye maadili ya kusimamia wanavyoamini wako vizuri sana
Mpaka uwe na D mbili ndio utaelewa!Duh kwa hiyo Mbarouk ni MP wa Bumbuli?
Yaaani makonda awe Waziri? Kwa kitu kipi cha kipekee anachoweza?Siyo issue ya Maadili mkuu.. point iko hapo wazi kabisa..kuna Reshuffle ya Cabinet..huyo kapewa maelekezo ajiudhuru,ili ateuliwe mtu mwingine awe mbunge na anaweza kuwa ni aidha Makonda ama Msigwa na akalamba uwaziri ama unaibu uwaziri.. na huyo aliye jiuzuru akateuliwa nafasi nyingine serikalini.
Si ndiye alimkaribisha?Kwa nini asimuage?Mbunge kateuliwa na Rais, inakuaje aombe kujiuzulu kwa Spika, pamoja na kwamba Spika ni bosi wa wabunge (mwenye kuelewa katiba hii imekaaje?)
Hii Nchi lolote linawezekana na wananchi hatuna cha kuwa fanya.Yaaani makonda awe Waziri? Kwa kitu kipi cha kipekee anachoweza?
Hii nchi TISS na Jeshi wasituangushe ili tukae sawa huko mbeleni!
Wanapenda sana ufisadi na kichwani ni emptyHuyo hata akikaribia kulata roho hawezi.
Nape anaupenda sana Uwaziri, ndo uliofanya akaenda magogoni Kumpigia magoti Magufuli