Pre GE2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk aandika barua ya kujiuzulu Ubunge

Pre GE2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk aandika barua ya kujiuzulu Ubunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbunge wa kuteuliwa na Rais na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amemuandikia Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson barua ya kujiuzulu Ubunge leo Jumapili tarehe 21 Julai, 2024.

View attachment 3048086
Excellent. Wenye akili hawawezi kuitumikia Serikali hii. Huu ufisadi kama una hofu ya mungu huwezi kufanya kazi na Hawa wakola. Serikali nzima wakola
 
Either anateuliwa cheo kingine, au kuna mtu anapishwa kuwa mbunge, mbsrouk ni TISS kwa hiyo anarudi kwa kazi yake
Changamoto ya kijamii, ni nini hicho ?

Je Mbarouk kupelekwa ktk Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa New York

Tetesi za JamiiForums:
Kutoka maktaba 11 Julai 2024

Kazi za kibalozi na vituo alivyohudumu kati ya mwezi May 27, 2013 - Nov, 2019:
Mh. Mbarouk Nassor Mbarouk balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huko Abu Dhabi, UAE pia kuwakilisha Tanzania katika nchi za Pakistan, Iran na Bahrain ambapo Tanzania haikuwa na ofisi ya ubalozi.
 
Huenda Rais Samia anaelekea kufanya mabadiliko madogo kwenye Baraza lake la Mawaziri.
View attachment 3048098
Ningekuwa Rais ningefanya haya!
Ningeunda Baraza dogo ambalo almost robo tatu ya Mawaziri ni big brains niliowatoa nje ya Bunge kwenye sekta zao.

Pili ningeanzisha mchakato wa katiba mpya haraka.

Tanzania tunahitaji hayo. Big brains lwenye nafasi za juu za maamuzi na Katiba Mpya ambayo ni bora.

Mengine yote ni siasa uchwara tu!
 
Sasa Katiba unajua vizuri mchakato wake?
 
Back
Top Bottom