Pre GE2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk aandika barua ya kujiuzulu Ubunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Upo sahihi kabisa
 
Itakuwa kachoka ‘baby-sitting’ halafu toto linajifanya lijuaji balaaa.

Yaani seasoned diplomat halafu boss wake awe mtu ambae experience yake ya foreign ni kupachikwa tu na mjomba.

Mtu kama hiyo ndio aongoze foreign iliyojaa experienced spies naona kaona enough of the nonsense wapeleke mtu mwingine atakae vumilia kusikuliza upuuzi wa waziri.
 
Hichi ndio tunataka na kipo kwenye Rasimu ya jaji warioba
 
Mtu mzima anajiuzulu then umpe nafasi nyengine?
5 Okt 2001. 2001. Speech. by NATO Secretary General, Lord Robertson at the
Summit on the Contribution of New
Democracies to Euro-Atlantic Security. Alihoji swali kama hili kwenye kile kikao, zaidi ya miaka 23 lile swali tena nimeliona tena hapa JF
 
Yaaani makonda awe Waziri? Kwa kitu kipi cha kipekee anachoweza?

Hii nchi TISS na Jeshi wasituangushe ili tukae sawa huko mbeleni!
Tiss sina uhakika maana wanateuliwa hao lazima wafuate ya rais. Ila kwa jeshi nimeshangaa sana kuona jeshi linaloabudu wanasiasa badala ya kuhakikisha linalinda katiba.
 
Bila TISS na Jeshi kulazimisha kuwepo kwa Katiba mpya. Siku si nyingi hii nchi itaingia shimoni kabisa.
Mzee wa DP World nchi iko pazuri sana, haihitaji mabadiliko yoyote yake. Binafsi nashauri Raisi Samia auze mbuga zote tu kama alivyofanya kwenye bandari, maana hata zikibaki sisi hatuwezi kuziendeleza. Hata hivyo, waarabu wana uzoefu na akili nyingi kuliko sisi.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…