Sio vichwa vizito hapana mkuu ni kuenda sawa vna mkuu anavyo taka, kuna watu wana akili mfano hamna ila wameminywa na mfumo .Magufuli aliendesha nchi bila baraza Kwa kipindi kirefu huku akiendelea kusuka baraza lake nje ya bunge. Mwishowe wakaishia kumuabudu na kumuita Mhe. Mungu.
Akina Magiga, Kabidi n wengine ndani baraza lake hawakuwa Wabunge. In short hii nchi Ina watu wenye vichwa vizito.
Otatenaeeeeeeee kipara ngoto huyoMarope keshamuwekea zengwe mpaka kasanda.
Kisambaa kina fitna mixer uchawi kwa msaada wa baba yake.
😂😂😂😂😂Nape yeye anaandika lini?
Kuna agrey mwanri japo umri umeenda lakini ana kitu.Kwa Bungeni mle hawazidi 5
Kwa haraka tunao
1. Dr. Charles Kimei
2. Deo Mwanyika
3. Prof Sospeter Muhongo
4. Prof. Kitila Mkumbo
5. Prof Adolf Mkenda
Nje ya Bunge tunao wengi sana na wengi hawapo hata kwenye siasa
Kwa nafasi ya Gavana Benki Kuu
Yupo anayefaa zaidi naye ni Ruth Zaipuna(NMB).
Kwa Katibu Mkuu Kiongozi
Angefaa sana Prof Sifuni Mchome.( Sijui yupo wapi siku hizi)
Kwenye Baraza la Mawaziri
1. Prof Kennedy Gastorn
2. Prof. Assad( Ingawa huyu ana mkwamo wa kikatiba kutoruhusiwa kushika nafasi yeyote ya uteuzi kutokana na kushika cheo cha CAG huko nyuma)
3. Ally Gugu
4. Rished Bade
5. Nehemia Mchechu
6. David Kafulila
7. Tundu Lissu (Huyu angefaa sana kutokana na ujuzi wake wa Sheria kama Waziri wa Katiba na Sheria)
Hawa ni wachache tu ila nchi yetu ina watu wengi wazuri wengi sana na wengine wapo Taasisi za Kimataifa na Makampuni makubwa na wanafanya sana vizuri sana.
Kwani mteuaji alikuwa kamaliza nafasi zake zote?Mchungaji Msigwa bungeni
😹😹😹Nape akiandika atakufa njaa
Nape njaa nyingi 😹😹Huyo hata akikaribia kulata roho hawezi.
Nape anaupenda sana Uwaziri, ndo uliofanya akaenda magogoni Kumpigia magoti Magufuli
Brittanica anaandika eti kipara alitaka kupindua meza ndio maama Siwa akaliwa kichwa!Nape na Makamba ndiyo wenye ccm na ndiyo wamemuweka huyo mama hapo ikulu. Akithubutu kuwaondoa hamalizi hata masaa 24. Hawa wapo sana tu.
Atakae teuliwa kuwa naibu take ndio ataula!Atakuweje waziri wakat sio mbunge tena
Ndio utaratibuMbunge kateuliwa na Rais, inakuaje aombe kujiuzulu kwa Spika, pamoja na kwamba Spika ni bosi wa wabunge (mwenye kuelewa katiba hii imekaaje?)
mpuuzi kweliNape na Makamba ndiyo wenye ccm na ndiyo wamemuweka huyo mama hapo ikulu. Akithubutu kuwaondoa hamalizi hata masaa 24. Hawa wapo sana tu.
Taja jina lake lote" Nape Mwandosya,"Nape yeye anaandika lini?
ndio maana kuna kitu wamefanya