Pre GE2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk aandika barua ya kujiuzulu Ubunge

Pre GE2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk aandika barua ya kujiuzulu Ubunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Magufuli aliendesha nchi bila baraza Kwa kipindi kirefu huku akiendelea kusuka baraza lake nje ya bunge. Mwishowe wakaishia kumuabudu na kumuita Mhe. Mungu.

Akina Magiga, Kabidi n wengine ndani baraza lake hawakuwa Wabunge. In short hii nchi Ina watu wenye vichwa vizito.
Sio vichwa vizito hapana mkuu ni kuenda sawa vna mkuu anavyo taka, kuna watu wana akili mfano hamna ila wameminywa na mfumo .
Lakini walao magufuli alidhubutu kupata watu nje ya walio zoeleka.
 
Kwa Bungeni mle hawazidi 5

Kwa haraka tunao
1. Dr. Charles Kimei
2. Deo Mwanyika
3. Prof Sospeter Muhongo
4. Prof. Kitila Mkumbo
5. Prof Adolf Mkenda

Nje ya Bunge tunao wengi sana na wengi hawapo hata kwenye siasa

Kwa nafasi ya Gavana Benki Kuu
Yupo anayefaa zaidi naye ni Ruth Zaipuna(NMB).

Kwa Katibu Mkuu Kiongozi
Angefaa sana Prof Sifuni Mchome.( Sijui yupo wapi siku hizi)

Kwenye Baraza la Mawaziri
1. Prof Kennedy Gastorn
2. Prof. Assad( Ingawa huyu ana mkwamo wa kikatiba kutoruhusiwa kushika nafasi yeyote ya uteuzi kutokana na kushika cheo cha CAG huko nyuma)
3. Ally Gugu
4. Rished Bade
5. Nehemia Mchechu
6. David Kafulila
7. Tundu Lissu (Huyu angefaa sana kutokana na ujuzi wake wa Sheria kama Waziri wa Katiba na Sheria)

Hawa ni wachache tu ila nchi yetu ina watu wengi wazuri wengi sana na wengine wapo Taasisi za Kimataifa na Makampuni makubwa na wanafanya sana vizuri sana.
Kuna agrey mwanri japo umri umeenda lakini ana kitu.
Hata kishimba japo hana shule lakini ana kitu.
 
Hili nalo ni lazima lijadiliwe

Screenshot_2024-07-22-02-33-31-1.png
 
Ubunge wa kupewa na rais, siku akiutaka mwenyewe unaurudisha.
 
Back
Top Bottom