Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Sio vichwa vizito hapana mkuu ni kuenda sawa vna mkuu anavyo taka, kuna watu wana akili mfano hamna ila wameminywa na mfumo .Magufuli aliendesha nchi bila baraza Kwa kipindi kirefu huku akiendelea kusuka baraza lake nje ya bunge. Mwishowe wakaishia kumuabudu na kumuita Mhe. Mungu.
Akina Magiga, Kabidi n wengine ndani baraza lake hawakuwa Wabunge. In short hii nchi Ina watu wenye vichwa vizito.
Lakini walao magufuli alidhubutu kupata watu nje ya walio zoeleka.