Siyo issue ya Maadili mkuu.. point iko hapo wazi kabisa..kuna Reshuffle ya Cabinet..huyo kapewa maelekezo ajiudhuru,ili ateuliwe mtu mwingine awe mbunge na anaweza kuwa ni aidha Makonda ama Msigwa na akalamba uwaziri ama unaibu uwaziri.. na huyo aliye jiuzuru akateuliwa nafasi nyingine serikalini.
Mkuu, kwani Nape amekosea nini? Yeye kaelezea hali halisi ya namna ya kushinda Uchaguzi Mkuu Nchini, kweni kipya ni nini kwenye chaguzi zetu ambacho hakishabaiani ni kauli yake?
Mbunge wa kuteuliwa na Rais na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amemuandikia Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson barua ya kujiuzulu Ubunge leo Jumapili tarehe 21 Julai, 2024.
Katibu mkuu Kiongozi anaweza rejea nafasiniii au akalamba sehemu fulan nzito Keep waiting…. Britanicca
www.jamiiforums.com
Kazi za kibalozi na vituo alivyohudumu kati ya mwezi May 27, 2013 - Nov, 2019:
Mh. Mbarouk Nassor Mbarouk balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huko Abu Dhabi, UAE pia kuwakilisha Tanzania katika nchi za Pakistan, Iran na Bahrain ambapo Tanzania haikuwa na ofisi ya ubalozi.
Magufuli aliendesha nchi bila baraza Kwa kipindi kirefu huku akiendelea kusuka baraza lake nje ya bunge. Mwishowe wakaishia kumuabudu na kumuita Mhe. Mungu.
Akina Magiga, Kabudi n wengine ndani baraza lake hawakuwa Wabunge. In short hii nchi Ina watu wenye vichwa vizito.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.