Naibu Waziri wa Masuala ya Siasa Wa Marekani, Victoria Nuland aja Tanzania, kukutana na Rais Samia

Mzalendo_Mwandamizi

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2007
Posts
1,117
Reaction score
4,772
Screenshot-7.png

Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana na Mama Samia Suluhu na pia kufanya maongezi na Wapinzani.
 
Akikutana na wapinzani ukumbi hautavamiwa na wasiojulikana? labda wakutane ubalozini.
 
View attachment 1879441
Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana na Mama Samia Suluhu na pia kufanya maongezi na Wapinzani.
Acha umbea wewe kwa habari zako za kuokota kwenye mitandao Kisha unajifanya kutuahabarisha sisi. Wewe umetoroka nchi kwa sababu ya uhalifu then kila siku upo busy unaendekeza umbea tu kwa habari za uchochezi Tanzania Kisha unajifanya kachero kumbe kibaka tu
 
Nulad aliyekuwa Ukraine wakati serikali ya nchi hiyo "inafanya mabadiliko ya uongozi kwa njia ya Euro Maidan"? Au majina yanafanana!?🙂🙂🙂
 
Good lakini taarifa ipo shallow sana, no source
Hawezi kuwa na taarifa huyu huwa ni mpaka aokote kwenye mitandao Kisha anajifanya ni taarifa za uchambuzi wa kijasusi kumbe tapeli tu aliyekimbia nchi
 
View attachment 1879441
Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana na Mama Samia Suluhu na pia kufanya maongezi na Wapinzani.
Ok jasusi uchwara pia Amekutana na chadema leo
 
Back
Top Bottom