Naibu Waziri wa Masuala ya Siasa Wa Marekani, Victoria Nuland aja Tanzania, kukutana na Rais Samia

Naibu Waziri wa Masuala ya Siasa Wa Marekani, Victoria Nuland aja Tanzania, kukutana na Rais Samia

Hawezi kuwa na taarifa huyu huwa ni mpaka aokote kwenye mitandao Kisha anajifanya ni taarifa za uchambuzi wa kijasusi kumbe tapeli tu aliyekimbia nchi
Huyu aliwatapeli matycoon wa ccm kina lowasa wakataka kumyonya kende akakimbia na kuanza kujiita jasusi,

jinga Sana Hili zee
 
Belt and Road Initiative imewaamsha.
Wamekuja kumchawia mchina ila wamarekani ni mabingwa wa fitina,hivi kwa nini mchina anaitamani sana bagamoyo wakati anaweza kuitumia Mombasa kufanikisha mambo yake au ndio ile kauli jamaa mmoja aliwahi sema kuwa huwezi kuizungumzia East Afrika bila kuitaja Tanzania,kauli hii ilitolewa kipindi kile Kagame,Uhuru na m7 wameanzisha ule upuuzi wao wa coalition of the willing
 
Huyu Victoria Nuland ni mtu wa kuwa naye makini sana. Serikali wakifanya mchezo watajuta

Who is Victoria Nuland?
Who is Victoria Nuland? Most Americans have never heard of her, because the U.S. corporate media's foreign policy coverage is a wasteland. Most Americans have no idea that President-elect Biden's pick for deputy secretary of state for political affairs is stuck in the quicksand of 1950s U.S.-Russia Cold War politics and dreams of continued NATO expansion, an arms race on steroids and further encirclement of Russia.

Nor do they know that from 2003 to 2005, during the hostile U.S. military occupation of Iraq, Nuland was a foreign policy advisor to Dick Cheney, the Darth Vader of the Bush administration.
 
Tatizo sio wapinzani wala katiba mpya,
Tatizo lipo Kwa Mbowe na genge lake, ametuhumiwa kupqnga njama za kihalifu ktk kufikia malengo ya kisiasa. kitendo hicho ni uvunjaji wa sheria za nchi na vyombo husika haviwezi kumuachia avunje sheria za nchi eti kwa kuwa ni Kiongozi wa chama cha upinzani, hiyo itakuwa ni unafiki na ubaguzi mbele ya sheria.
Mhalifu lazima afikishwe mahakamani na ajibu tuhuma zake na kisha mahakama itaamua sio mtu maengine au taasisi au hata nchi nyingine. ni lazima kila mwananchi aheshimu utawala wa sheria.
 
View attachment 1879441
Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana na Mama Samia Suluhu na pia kufanya maongezi na Wapinzani.
Huku una freedom ya kureport kule Twitter hutaki mawazo mbadala
 
View attachment 1879441
Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana na Mama Samia Suluhu na pia kufanya maongezi na Wapinzani.
Je ndio huu ujumbe alisema Tundu Lissu kuwa wao kama chama wameendelea kutafuta Suluhu ikiwa ni pamoja na kufanya lobbying kwa watu wanaoelewana na Mama? May be. Let us wait. Hii ni Muhimu. Hii nchi tunaipenda sote. Utulivu, haki na amani kwa wote.
 
Tatizo sio wapinzani wala katiba mpya,
Tatizo lipo Kwa Mbowe na genge lake, ametuhumiwa kupqnga njama za kihalifu ktk kufikia malengo ya kisiasa. kitendo hicho ni uvunjaji wa sheria za nchi na vyombo husika haviwezi kumuachia avunje sheria za nchi eti kwa kuwa ni Kiongozi wa chama cha upinzani, hiyo itakuwa ni unafiki na ubaguzi mbele ya sheria.
Mhalifu lazima afikishwe mahakamani na ajibu tuhuma zake na kisha mahakama itaamua sio mtu maengine au taasisi au hata nchi nyingine. ni lazima kila mwananchi aheshimu utawala wa sheria.
ID za kulipwa. 🤣🤣
 
Mambo ya usalama wa ndani ya nchi yatabaki kuwa ya nchi.
Tanzania is a sovereign coutry.
ila Chadema hakikufaa kabisaa kuwa chama cha upinzani nchini Tanzania kwa tabia ya mara kwa mara wanayo ionyesha inapo tokea jambo lolote basi wanaenda kuichongea Tanzania kwa mataifa makubwa wakitegemea Viongozi wetu wataogopa!! thubutu!!!! kamwe tusivumilie tabia hii ya kizandiki!!! labda wakafanye siasa zao Burundi lkn sio Tz..
Tunaomba viongozi wetu wasiyumbe kabisa, wawe imara kusimamia sheria za nchi.
Demokrasia sio kuvunja amani.
 
Na pia ni watu wanaotukana ovyo majukwaani utadhani ni wendawazimu.

Wengine utawaona hapa hapa
Shida yenu nyinyi walamba viatu na wachumia tumbo mnadhani walioko madaakani ni miungu. Cheo ni dhamana tena kutoka kwa wananchi. Yuko wapi mwendazake na genge lake? Simamieni misingi ya haki na ukweli, watu watapita.
 
Back
Top Bottom