Naibu Waziri wa Masuala ya Siasa Wa Marekani, Victoria Nuland aja Tanzania, kukutana na Rais Samia

Akikutana na wapinzani ukumbi hautavamiwa na wasiojulikana? labda wakutane ubalozini.
 
Acha umbea wewe kwa habari zako za kuokota kwenye mitandao Kisha unajifanya kutuahabarisha sisi. Wewe umetoroka nchi kwa sababu ya uhalifu then kila siku upo busy unaendekeza umbea tu kwa habari za uchochezi Tanzania Kisha unajifanya kachero kumbe kibaka tu
 
Nulad aliyekuwa Ukraine wakati serikali ya nchi hiyo "inafanya mabadiliko ya uongozi kwa njia ya Euro Maidan"? Au majina yanafanana!?🙂🙂🙂
 
Good lakini taarifa ipo shallow sana, no source
Hawezi kuwa na taarifa huyu huwa ni mpaka aokote kwenye mitandao Kisha anajifanya ni taarifa za uchambuzi wa kijasusi kumbe tapeli tu aliyekimbia nchi
 
Ok jasusi uchwara pia Amekutana na chadema leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…