Huyu aliwatapeli matycoon wa ccm kina lowasa wakataka kumyonya kende akakimbia na kuanza kujiita jasusi,Hawezi kuwa na taarifa huyu huwa ni mpaka aokote kwenye mitandao Kisha anajifanya ni taarifa za uchambuzi wa kijasusi kumbe tapeli tu aliyekimbia nchi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawezi kuwa na taarifa huyu huwa ni mpaka aokote kwenye mitandao Kisha anajifanya ni taarifa za uchambuzi wa kijasusi kumbe tapeli tu aliyekimbia nchi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu aliwatapeli matycoon wa ccm kina lowasa wakataka kumyonya kende akakimbia na kuanza kujiita jasusi,
Kumbe ndio maana alikimbia nchi? Jamaa Mshamba sana huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamekuja kumchawia mchina ila wamarekani ni mabingwa wa fitina,hivi kwa nini mchina anaitamani sana bagamoyo wakati anaweza kuitumia Mombasa kufanikisha mambo yake au ndio ile kauli jamaa mmoja aliwahi sema kuwa huwezi kuizungumzia East Afrika bila kuitaja Tanzania,kauli hii ilitolewa kipindi kile Kagame,Uhuru na m7 wameanzisha ule upuuzi wao wa coalition of the willingBelt and Road Initiative imewaamsha.
Who is Victoria Nuland? Most Americans have never heard of her, because the U.S. corporate media's foreign policy coverage is a wasteland. Most Americans have no idea that President-elect Biden's pick for deputy secretary of state for political affairs is stuck in the quicksand of 1950s U.S.-Russia Cold War politics and dreams of continued NATO expansion, an arms race on steroids and further encirclement of Russia.
Nor do they know that from 2003 to 2005, during the hostile U.S. military occupation of Iraq, Nuland was a foreign policy advisor to Dick Cheney, the Darth Vader of the Bush administration.
Watu wanajifanya wajuaji poor youHuyu Victoria Nuland ni mtu wa kuwa naye makini sana. Serikali wakifanya mchezo watajuta
Who is Victoria Nuland?
ccm na mapolisi wanajuwa upinzani ni mbowe. mavi kabisa.Lazima kuwe na mjadala wa kitaifa. Wapinzani siyo wahalifu ni watu wanotoa maoni mbadala.
Amemgaidi mama yakoKwahiyo watampeleka kwa Zitto Kabwe au kwa Gaidi Mbowe?
Huku una freedom ya kureport kule Twitter hutaki mawazo mbadalaView attachment 1879441
Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana na Mama Samia Suluhu na pia kufanya maongezi na Wapinzani.
Je ndio huu ujumbe alisema Tundu Lissu kuwa wao kama chama wameendelea kutafuta Suluhu ikiwa ni pamoja na kufanya lobbying kwa watu wanaoelewana na Mama? May be. Let us wait. Hii ni Muhimu. Hii nchi tunaipenda sote. Utulivu, haki na amani kwa wote.View attachment 1879441
Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana na Mama Samia Suluhu na pia kufanya maongezi na Wapinzani.
ID za kulipwa. 🤣🤣Tatizo sio wapinzani wala katiba mpya,
Tatizo lipo Kwa Mbowe na genge lake, ametuhumiwa kupqnga njama za kihalifu ktk kufikia malengo ya kisiasa. kitendo hicho ni uvunjaji wa sheria za nchi na vyombo husika haviwezi kumuachia avunje sheria za nchi eti kwa kuwa ni Kiongozi wa chama cha upinzani, hiyo itakuwa ni unafiki na ubaguzi mbele ya sheria.
Mhalifu lazima afikishwe mahakamani na ajibu tuhuma zake na kisha mahakama itaamua sio mtu maengine au taasisi au hata nchi nyingine. ni lazima kila mwananchi aheshimu utawala wa sheria.
Na pia ni watu wanaotukana ovyo majukwaani utadhani ni wendawazimu.Lazima kuwe na mjadala wa kitaifa. Wapinzani siyo wahalifu ni watu wanotoa maoni mbadala.
Shida yenu nyinyi walamba viatu na wachumia tumbo mnadhani walioko madaakani ni miungu. Cheo ni dhamana tena kutoka kwa wananchi. Yuko wapi mwendazake na genge lake? Simamieni misingi ya haki na ukweli, watu watapita.Na pia ni watu wanaotukana ovyo majukwaani utadhani ni wendawazimu.
Wengine utawaona hapa hapa