Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
Washatuona wa Tz mazuzu kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo vizur, tunaendelea vizur, tunaelekea pazuri na kwakweli tutafika pazuri sana muda usokua mrefu,
Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea kuwasha mtambio namba 9 kwa mara ya kwanza lakini kwa jitihada za serikali na wakandarasi tuliweza kusogeza ratiba za kuwasha mtambo huu hadi mwezi wa pili, jana tumefanikiwa kufanya majaribio kwa ukamilifu kwenye mtambo namba 9 na tumeutembeza kwenye uwezo wake wa mwisho wa megawati 235," - Judith Kapinga, Naibu Waziri wa Nishati
"Tuliahidi mwezi huu tuna ratiba ya kuzindua mtambo huu na ratiba hii iko palepale, tunawashukuru sana Watanzania kwa kuendelea kutuvumilia, matumizi ya umeme yanategemeana tukizalisha mwezi huu mgao utakuwa umepungua kwa kiasi kikubwa kwa sababu tunazalisha megawati 235 na mwezi wa tatu tutazalisha megawati 235 hivyo zitakuwa megawati 470 uhakika ni kwamba kufikia mwezi wa tatu mgao wa umeme utaisha nchini," - Judith Kapinga, Naibu Waziri wa Nishati
Pia soma
- Februari 16 Serikali ilisema umeme mwisho kukatika. Ulipo umeme upo?
Muamini Mungu Muweza wa Yote kwa wote wamchao 🐒Tumuamini nani sasa?View attachment 2905690
HeeeeeTumuamini nani sasa?View attachment 2905690
Shemela ni aje? Karibu niko hapa Sato Sangara Rock City Mall tuyajenge.😂😂😂🐼
Kapinga ni dada yangu huyu tumvumilie
😄😄Shemela ni aje? Karibu niko hapa Sato Sangara Rock City Mall tuyajenge.
Tunapigwa dana dana hahahaaWalisema mwezi wa 2 sasa wamehamia kwenye mwezi wa 3. Ukifika mwezi wa 3 watahamia kwenye mwezi wa 6.
Yangu macho
Hawa bora wanyamaze tu
Huyu kama ndio aliyesema mgao utaisha February 16, 2024, hakupaswa kusogeza tena tarehe mbele, alitakiwa awe ameshajipima na kujiuzulu.
Viongozi wa kiafrika ni kama matapeli vile, hawawezi na hawapendi kuwajibika kwa kauli zao. Ikifika March atasogeza tena tarehe, subirini muone.
Mmh ngumu kumeza

Mimi namuomba sana Mwenyezi Mungu awaadhibu hawa viongozi wa Serikali kwa kwa yale yote ambayo Mungu anajua SIO YA HAKI kwasisi wananchi. Kimsingi wameshagundua unyonge wetu. Mwenyezi Mungu awahukumu wao na watoto wao ili nao waikose furaha.
Huyu kama ndio aliyesema mgao utaisha February 16, 2024, hakupaswa kusogeza tena tarehe mbele, alitakiwa awe ameshajipima na kujiuzulu.
Viongozi wa kiafrika ni kama matapeli vile, hawawezi na hawapendi kuwajibika kwa kauli zao. Ikifika March atasogeza tena tarehe, subirini muone.
Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea kuwasha mtambio namba 9 kwa mara ya kwanza lakini kwa jitihada za serikali na wakandarasi tuliweza kusogeza ratiba za kuwasha mtambo huu hadi mwezi wa pili, jana tumefanikiwa kufanya majaribio kwa ukamilifu kwenye mtambo namba 9 na tumeutembeza kwenye uwezo wake wa mwisho wa megawati 235," - Judith Kapinga, Naibu Waziri wa Nishati
"Tuliahidi mwezi huu tuna ratiba ya kuzindua mtambo huu na ratiba hii iko palepale, tunawashukuru sana Watanzania kwa kuendelea kutuvumilia, matumizi ya umeme yanategemeana tukizalisha mwezi huu mgao utakuwa umepungua kwa kiasi kikubwa kwa sababu tunazalisha megawati 235 na mwezi wa tatu tutazalisha megawati 235 hivyo zitakuwa megawati 470 uhakika ni kwamba kufikia mwezi wa tatu mgao wa umeme utaisha nchini," - Judith Kapinga, Naibu Waziri wa Nishati
Pia soma
Viongozi wa hii nchi wanawadharau sana wananchi, wanaona kama wanawamudu sana. Lakini pia kingine, wanaamini kabisa sanduku la kura ni geresha tu (rejea alichosema Prof. Tibaijuka kuhusu Lowassa) kilochotokea 2020 na wananchi tukaufyata kimezidi kuwapa kiburi zaidi CCM.Mimi namuomba sana Mwenyezi Mungu awaadhibu hawa viongozi wa Serikali kwa kwa yale yote ambayo Mungu anajua SIO YA HAKI kwasisi wananchi...
Hata usipoisha ni sawa tu, wao wanyamaze tu tujifunze kupambana na mazingira yetu
Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea ...