TANZIA Naibu Waziri, William Ole Nasha afariki dunia

Hao ndio wale wahuni waliopita bila kupingwa.
nini?
Aliugua kwa muda gani?
Alikua Mh mbunge wa kuchaguliwa ama wa kuteuliwa?
Ebu mwenye historia yake akuje hapa mbele kwanza.
R.i.P Naibu waziri
 
Haya mkuu, ngoja tuendelee kuzisubiri hizo siku za mapumziko. Si umesema ni hivi karibuni eeeh?
 
Kwan si unapanchi tu Kisha alie karibu ndo linamdondokea Kama ni vifo vya ndotoni. Ungeendelea kulala lazima pia ungepata na maono namna ya huyo mtu kukiepuka kama alivyofanya Godbless Lema akamuonesha kabisa namna ya kukiepuka lkn jamaa akawa kaidi
Chifu...

Nisingekuwa na huo ujasiri kwa sababu kifo ni kitu kibaya, na siwezi kumuombea yeyote!!

Nilim- criticize Magu for years lakini alipokufa, nilipatwa na ubaridi kiasi kwamba sidhani kama kuna post yoyote ambayo nili-comment kuhusu kifo chake!!

Na ukweli kutoka moyoni, nilitamani ashuhudie kwa macho yake siku madudu yake yatakapokuja kuwekwa hadharani... kama Wafu wanafahamu hisia zetu, hata leo akifufuka Magu atasema "...ni kweli, huyo kima alitamani nione mwenyewe madudu yangu siku yatakapofichuka"!
 
Wewe chige wewe!!
 
Pole kwa familia yake...

Hivi kumbe kuna wabunge wanaishi nje ya majimbo yao kipindi ambacho si cha bunge...
 
Duuu!
 
Duuuu hongera, yaani kwa kumwangalia mtu tu unaweza kujua kuwa ameungwa kwenye grid au la?Itabidi unielekeze nami.
Huyu bibie ni mtu wa mihemko sana, anaweza kutoa maoni hadi ukajiuliza hivi huyu niaje?

Kwa kumwangalia tu(huenda kwenye picha) alishajua jamaa kaungwa, noma sana mzee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…