TANZIA Naibu Waziri, William Ole Nasha afariki dunia

TANZIA Naibu Waziri, William Ole Nasha afariki dunia

Hao ndio wale wahuni waliopita bila kupingwa.
nini?
Aliugua kwa muda gani?
Alikua Mh mbunge wa kuchaguliwa ama wa kuteuliwa?
Ebu mwenye historia yake akuje hapa mbele kwanza.
R.i.P Naibu waziri
 
Nimemwazia nani mabaya?! Na hayo mabaya nimewazia vipi?! Huoni unge-make sense endapo ungesema "usiamini ndoto" kuliko kusema "usiwazie wenzako mabaya"?

Au ndoto ni mawazo?!

Last time I checked, I remember to say "...simanzi iliyofanya TUPEWE siku za maombolezo" but I don't find anywhere niliposema "NIKAPEWA" siku za maombolezo! That having been said, if not ME, then waliopo!!
Haya mkuu, ngoja tuendelee kuzisubiri hizo siku za mapumziko. Si umesema ni hivi karibuni eeeh?
 
Kwan si unapanchi tu Kisha alie karibu ndo linamdondokea Kama ni vifo vya ndotoni. Ungeendelea kulala lazima pia ungepata na maono namna ya huyo mtu kukiepuka kama alivyofanya Godbless Lema akamuonesha kabisa namna ya kukiepuka lkn jamaa akawa kaidi
Chifu...

Nisingekuwa na huo ujasiri kwa sababu kifo ni kitu kibaya, na siwezi kumuombea yeyote!!

Nilim- criticize Magu for years lakini alipokufa, nilipatwa na ubaridi kiasi kwamba sidhani kama kuna post yoyote ambayo nili-comment kuhusu kifo chake!!

Na ukweli kutoka moyoni, nilitamani ashuhudie kwa macho yake siku madudu yake yatakapokuja kuwekwa hadharani... kama Wafu wanafahamu hisia zetu, hata leo akifufuka Magu atasema "...ni kweli, huyo kima alitamani nione mwenyewe madudu yangu siku yatakapofichuka"!
 
HAWEZI KUWA HUYU....

NARUDIA, HAWEZI KUWA HUYU HATA KIDOGO....

JUZI KUAMKIA HANA NIMEFUNULIWA KWA NJIA YA NDOTO KWAMBA TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI MZITO...

TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI ILIYOFANYA TUPEWE SIKU KADHAA ZA MAOMBOLEZO...

TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI ILIYOSABABISHA MABADILIKO MENGINE YA UONGOZI...

HALAFU MNIAMBIE ETI NI NAIBU WAZIRI?!

NO WAY... SOMETHING IS COMING, I DON'T GIVE A SHIT WHO OR WHEN BUT IT'S COMING!!

ALL IN ALL, REST IN PEACE WILLIAM OLE...

BWANA ALITOA, NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE... AMEEN!!
Wewe chige wewe!!
 
Pole kwa familia yake...

Hivi kumbe kuna wabunge wanaishi nje ya majimbo yao kipindi ambacho si cha bunge...
 
KUWA HUYU....

NARUDIA, HAWEZI KUWA HUYU HATA KIDOGO....

JUZI KUAMKIA HANA NIMEFUNULIWA KWA NJIA YA NDOTO KWAMBA TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI MZITO...

TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI ILIYOFANYA TUPEWE SIKU KADHAA ZA MAOMBOLEZO...

TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI ILIYOSABABISHA MABADILIKO MENGINE YA UONGOZI...

HALAFU MNIAMBIE ETI NI NAIBU WAZIRI?!

NO WAY... SOMETHING IS COMING, I DON'T GIVE A SHIT WHO OR WHEN BUT IT'S COMING!!

ALL IN ALL, REST IN PEACE WILLIAM OLE...

BWANA ALITOA, NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE... AMEEN!!
Duuu!
 
Duuuu hongera, yaani kwa kumwangalia mtu tu unaweza kujua kuwa ameungwa kwenye grid au la?Itabidi unielekeze nami.
Huyu bibie ni mtu wa mihemko sana, anaweza kutoa maoni hadi ukajiuliza hivi huyu niaje?

Kwa kumwangalia tu(huenda kwenye picha) alishajua jamaa kaungwa, noma sana mzee!
 
Back
Top Bottom