MBIIRWA
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 2,634
- 5,373
Morning twin..[emoji3][emoji3][emoji3] Yaani acha tu mwaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morning twin..[emoji3][emoji3][emoji3] Yaani acha tu mwaya.
Morning! Ila Pacha umeadimika mno.Morning twin..
Mwanangu kumbe unakimbizaga ulabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama sijanywa huwa ni rahisi, shida ni kama kuna game ya EPL imechezwa saa moja, maana hapo ni rahisi kunywa.
Kama hakuna game ni mara chache sana kunywa.
Mwanangu kumbe unakimbizaga ulabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha kwa iyo unakunywa Heineken kwa sababu ya uefa[emoji23][emoji23][emoji23] ..ngoja sisi tukomae na balimi maana uefa hatuna chetu..Heineken Bro, kama unavyojua sisi ni mabingwa wa kihistoria wa UEFA, na Heineken ndiyo wadhamini wakuu wa UEFA, so tunapeana sapoti.
Hahaha kwa iyo unakunywa Heineken kwa sababu ya uefa[emoji23][emoji23][emoji23] ..ngoja sisi tukomae na balimi maana uefa hatuna chetu..
Tunakipiga mkuu ila cunajua timu yetu ya kuunga unga ..kwa iyo mapema tu sisi tunaeza aga mashindano tukawaacha nyie mpambane ...Kwani nyie mwaka huu si mnacheza UEFA mwaka huu?
Balimi waachieni Arsenal na Man Utd.
Tunakipiga mkuu ila cunajua timu yetu ya kuunga unga ..kwa iyo mapema tu sisi tunaeza aga mashindano tukawaacha nyie mpambane ...
Kwa iyo tunaeza ungana na Man utd na Arsenal kuienzi balimi..[emoji41][emoji41]
Unatutukana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
nadhani asilimia kubwa tunaichukia kisa tangu tupo shule vile j tatu unakuta inaanza zamu ya ticha mkaliiiiii...najua nikiangusha tu hapa nikishtuka ni saa 11, dadeq! Nauchukia usiku wa kuamkia Jumatatu.
..nasikia huku post isiwe ndefu, wala comments zisiwe ndefu.[emoji23][emoji23]