Naichukia Jumapili kuamkia Jumatatu

Naichukia Jumapili kuamkia Jumatatu

Me J3 hii nimeisubiri Kwa hamu sn maana Manchester united inashinda leo.

Over
 
Mie tokea saa kumi niko macho naandika vitu vya kufanya leo kazini kwa kuvipangilua umuhimu. Natamani muda ufike nianze majukumu.

Nilikutana na mtu mmoja kama wiki mbili zimepita, katika mazungumzo, nilibaini nna bahati sana kuwa na hii kazi. Alinieleza yeye pesa anapewa nikaishia kutokwa machozi (hapa naongelea msomi mwenye elimu yake ya chuo kikuu).

Kesho yake saa kumi na mbili asubuhi nilikua naimba mapambio kumshukuru Mungu nikiwa maeneo ya ofisi kusubiri wafungue nianze kuchakarika.

Ntafanya kazi kama punda Jumatatu hadi Ijumaa, kuanzia Ijumaa jioni hadi Jumapili ni biashara zingine kabisa.

Utafanya kazi kama punda kwenye ofisi yako mwenyewe au umeajiriwa am sorry mkuu kwa swali hili
 
Ratiba yangu huwa naamka saa 11 kasoro 20 kila siku. Jumatatu hadi Jumapili. Nilishazoea wala sionagi tabu
 
Ratiba yangu huwa naamka saa 11 kasoro 20 kila siku. Jumatatu hadi Jumapili. Nilishazoea wala sionagi tabu
Naomba tuwe tunalala wote sakayo[emoji23][emoji23][emoji23] ili saa 11 na nusu uniamshe, mbona jumanne sio ishu. Monday dadeq, waliosema blue Monday hawakuwa viazi ..
 
Utafanya kazi kama punda kwenye ofisi yako mwenyewe au umeajiriwa am sorry mkuu kwa swali hili
..oh hilo swali, punda kwa ofisi yake au ya mwingine?(kuajiriwa)
 
mimi huwa naweka alarm saa 11 kasoro ili ikilia tu nazima alarm najivuuuuutaaa kusogeza sogeza kausingizi kuja kufika 12 kasoro ndo naamka sema mimi kazini ni karibu sana 10 minutes nakua nshafika




Cc Smart911
Shida sio distance, tatizo ni mentality tu kichwani huko. Jmosi na Jpili zinafanya mwili u-relax sana, nikishafikiria tu kuamka asubuhi nachoka
 
Back
Top Bottom