Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawa Mtani.Ni self displine, kawaida Jumatatu ni siku inayo determine wiki yako itakuwaje.
Kwa hiyo huwa majitahidi sana Jumatatu iwe nzuri, na ukinywa umeiharibu.
Umeona sasa rafiki. Kwetu kulala mapema ni changamoto kwa kweli.Naam rafiki huwa nahakikisha saa moja nipo kitandan ila mama chanja hadi aje saa tatu anapigizana kelele na vifaranga
Mie tokea saa kumi niko macho naandika vitu vya kufanya leo kazini kwa kuvipangilua umuhimu. Natamani muda ufike nianze majukumu.
Nilikutana na mtu mmoja kama wiki mbili zimepita, katika mazungumzo, nilibaini nna bahati sana kuwa na hii kazi. Alinieleza yeye pesa anapewa nikaishia kutokwa machozi (hapa naongelea msomi mwenye elimu yake ya chuo kikuu).
Kesho yake saa kumi na mbili asubuhi nilikua naimba mapambio kumshukuru Mungu nikiwa maeneo ya ofisi kusubiri wafungue nianze kuchakarika.
Ntafanya kazi kama punda Jumatatu hadi Ijumaa, kuanzia Ijumaa jioni hadi Jumapili ni biashara zingine kabisa.
Naomba tuwe tunalala wote sakayo[emoji23][emoji23][emoji23] ili saa 11 na nusu uniamshe, mbona jumanne sio ishu. Monday dadeq, waliosema blue Monday hawakuwa viazi ..Ratiba yangu huwa naamka saa 11 kasoro 20 kila siku. Jumatatu hadi Jumapili. Nilishazoea wala sionagi tabu
[emoji23][emoji23] nipe mimi kazi ya kukuamshaHii chuki inaanza jumapili jioni hadi Jumatatu asubuhi mama, its an ongoing hatred [emoji23]
Shida sio distance, tatizo ni mentality tu kichwani huko. Jmosi na Jpili zinafanya mwili u-relax sana, nikishafikiria tu kuamka asubuhi nachokamimi huwa naweka alarm saa 11 kasoro ili ikilia tu nazima alarm najivuuuuutaaa kusogeza sogeza kausingizi kuja kufika 12 kasoro ndo naamka sema mimi kazini ni karibu sana 10 minutes nakua nshafika
Cc Smart911